Kwa mwl aliyepo wilaya yoyote mkoa wa arusha (msingi) na anahitaji kwenda manispaa ya musoma anitafute tafadhali kuna mtu wa kubadilishana naye.0755549602
Matokeo Ubunge jimbo la Arusha Mjini
Wapiga kura walioandikishwa 317,814 Waliopiga kura 105,800 sawa na 32.83%
Kura halali 104,353
Kura zilizoharibika 1447. MATOKEO
NAVOI MOLLEL ACT kura 342 sawa na 0.3%. PHILEMON OLAIS MOLLEL CCM kura 35,907 sawa na
34.4%. GODBLESS JONATHAN LEMA CHADEMA...
Wakati huko Ethiopia wanazindua treni ya mwendo
kasi.
Nchini Tanzania tunakimbizana na Mwenge wa
Uhuru na kwa sasa upo wilayani Siha wanazindua
choo cha shule.
Hii ni aibu kubwa zaidi ya miaka 50 ya Uhuru bado tunazindua vyoo.
Tukutane machinjioni October 25
Kwan wewe una guarantee na Mwenyezi Mungu kwamba utaishi mpaka lini??? Tena usirudie hyo kufuru hyo kaitubu kanisani/msikitini mara moja kama wewe ni mtu wa Mungu
"Kundi la Vibaka Latikisa UKAWA" ni kichwa cha
habari cha gazeti la uhuru ambalo linamilikiwa na
CCM. kwa mandamano ya Lowassa ya kuchukua fomu
ya urais kwenye tume ya uchaguzi CCM yageuka
kuwa jeshi la polisi. Hii ni dharau kubwa hususani
chama ambacho kinataka kipate ushindi wa Tsunam...
Bado hujachelewa! Jipatie Kinanda (Pedal) vya uhakika na bei nzuri guarantee yetu ni ya muda mrefu.
Piga 0755549602: "qui bene cantat bis orati"
St. Augustine.
Madiwani wa wa ccm halmashauri ya Meru wajiunga
CHADEMA leo.
Wamepokelewa na kukabidhiwa kadi na Mbunge wa
Arumeru Mashariki Mhe. Joshua Nassari wilayani
Aruneru leo.
Madiwani hao na kata zao ni 1. Loth Nnko (kata ya Maji ya Chai)
2. Godfrey Kishongo Mbisse (Nkoaranga)
3. Abraham Kaaya...
Kuna rafiki yangu mmoja alitaka maoni yangu juu ya
sintofahamu juu Dr. Slaa na ujio wa EL ndani ya
CHADEMA.. Baada ya kusikia kauli ya m'kiti wa chama,
Mr. Mbowe , nikaona nimjibu kama ifuatavyo:
Wanasiasa huwa wanasema kuwa kwenye siasa
hakuna kitu ambacho huwa kinatokea kama ajali au kwa...
Kura za maoni jimboni Rombo zimekamilika huku mtia nia Na mwanajamvi wa huku JF akichukua nafasi ya tatu nampa hongera kwa kutumia haki yake kikatiba huu ni ukomavu wa demokrasia
Matokeo yalikuwa hivi
1.Joseph Selasin 313
2.Masika Fratern 56
3.Bernard Saanane 26
4.Hugho Kimaryo 01...
Leo Juni 30 katika kikao cha Bunge niliomba bunge
tujadili suala la dharura la uhaba wa upatikanaji wa
mafuta au kile kinachoweza kutafsiriwa kama
"mgomo wa wafanyabiashara wa mafuta". Hoja yangu haikufanikiwa kwa majibu ya Waziri
kuwa wanafanyia kazi na kuhakikisha hali inakuwa
shwari...
Wewe kibaraka wa CCM aliyefanya kazi ni Mdee kama asingesema yote hayo nan angewakumbuka wananch wale CCM kama gari la mkaa haliwaki mpaka lishtuliwe likifika mliman lazima uweke gogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.