Kama unakula Rushwa ukitajwa hatukuharibii Bali ni kuliokoa taifa dhidi ya watu wabadhirifu
Chuki ili iweje. Yaani hicho kimshahara chake Cha kusuburi siku 30 ndo kisababishe niwe na chuki nae.. Mimi ni miongoni mwa wale wanaochukia Rushwa tu basi.
Unadhani anaponikandamiza kwenye biashara yangu na kuididimiza kupitia Rushwa za kijinga, umefikiria kwamba wanaonitegemea wataishije biashara yangu ikifa? All in All anapaswa kuzingatia maadili katika utendaji wake wa kazi hakuna atakayemuonea
Ninachoamini hata ukimtaja, TRA na Serikali kwa ujumla vina mamlaka za kiuchunguzi ambapo tuhuma isipothibitika kwa ushahidi, baada uchunguzi mtuhimiwa anabaki kuwa huru na anaendeleaj na kazi
Wadau, naomba uzoefu wenu kuhusu TRA.
Nimeona niwashirikishe jambo ambalo nimekuwa nikikutana nalo katika shughuli zangu za biashara. Kuna baadhi ya watumishi wa TRA ambao, wakati wa kushughulikia masuala ya kikodi au ukaguzi, wamekuwa wakinipa hisia kwamba bila kutoa "Rushwa" au “kitu kidogo”...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.