Recent content by MTANZANIATZ

  1. M

    MGOGORO: Malumbano ya UVCCM, Viongozi wastaafu na Hatima ya CCM

    Mkubwa Kange, sijui unamaanisha nini.Umejiridhisha kabisa kwamba tatizo kwa CCM,ni hizo EPA,RICHMOND AND THE LIKE. Hapana kaka!! kuna mlundikano wa matatizo kuanzia ndani ya ccm na kuhamia serikalini kwa sababu tu watendaji wengi serikalini ni makada wa ccm hivyo hakuna ufanisi.Kumejaa...
  2. M

    Zitto kugombea urais 2015?

    Daa!!!!!! mnanipa mashaka,yaani aliyetoa hoja anastahiki pongezi kwa vile kasema anavyoona yeye!. Watanzania wenzangu mnachangia hoja nje ya mantiki hadi mnalumbana,kwa stahili hiyo you become part of the problem. Kwa ufupi tusigande kuzungumzia mtu alivyo au vile wewe anakulidhisha,hapana...
  3. M

    How to use JamiiForums effectively

    Nashukuru, nimeweza kujiunga na forum hii kwa haraka kutokana na ufanisi wenu. Nahidi tutakwa pamoja kuona mambo yanaendaje hapa Tanzania na duaniani kwa ujumla. Sasa hivi natafakari kwamba CHADEMA WAKO SAHIHI KABISA katika siasa wanazoendesha,hasa za maandamano.Wanaopinga siasa hizo naona...
Back
Top Bottom