Kwasasa watakao chaguliwa kuwa mawaziri ni wazi hawatazipenda hizo nafasi kama walikuwa ni wapiga dili.Magu kiboko yao.Atakamua majipu tu.wajiandae kwa maumivu.
Mi mwenyewe Mahaba ya UKAWA yamenijaa.Slaa amepoteza muda.Bora hiyo Milioni 500 angeichukua tu akale bata kuliko kuja kuongea vitu ambayo haviingii akilini mwangu hata chembe.
Waambie kwenye bomba la maji utaweka koki nyingine kwaajili ya kutoa maziwa.Utaweka automatic switch umeme wa tanesco ukikata inaingia wa jua.waambie kwakua lami tayari.sasa utajenga viwanja vya ndege na flyover hadi milangoni mwao.Halafu utakutana Nao October 25 2015
Tatizo la wanna CCM ni kuhisi kubaguliwa.kumbe nyie Ndo wabaguzi wakubwa.sasa ITV na watu wa kaskazini vinahusiana nini?Ndorooooobo wewe.Si bora uangalie TBC ikufurahishe ki CCM zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.