Recent content by Mtanzania Safi

  1. M

    Elewa umuhimu wa Ngeleja Sekta ya Madini & Nishati hivi sasa

    AWAMU YA NNE CHANZO CHA KUIMARIKA SEKTA YA NISHATI, MADINI Kuanzishwa mfumo wa ununuzi mafuta kwa wingi (BPS) katika biashara ya mafuta ya petroli nchini, kwa kiwango kikubwa kumerahisisha usimamiaji wa kodi na kupunguza vikwazo vya uagizaji mafuta. Maeneo hayo yote mawili yamepelekea...
  2. M

    Ngeleja apongezwe kwa hili

    Ndo maana huwa nakukubali sana Mgope
  3. M

    Ngeleja apongezwe kwa hili

    AWAMU YA NNE IMEINUA SEKTA YA NISHATI, MADINI Kuanzishwa mfumo wa ununuzi mafuta kwa wingi (BPS) katika biashara ya mafuta ya petroli nchini, kwa kiwango kikubwa kumerahisisha usimamiaji wa kodi na kupunguza vikwazo vya uagizaji mafuta. Maeneo hayo yote mawili yamepelekea kuimarisha ukusanyaji...
  4. M

    Ngeleja: Mgawo wangu Akaunti ya Tegeta Escrow ni wa msaada

    Soma hoja uelewe, halafu hayo ni majibu ya aliyedai Ngeleja alivyopokea pesa angeutangazia umma, akutangazie ww kama nani, una haki ya kumhoji mtumishi wa umma kwa sheria ipi, so habar ya kumhoji ww huna hiyo haki kabisa, yeye alijaza form yenye kumtaka kuonyesha mali zake kila mwisho wa mwaka...
  5. M

    Sengerema: Wazee wapeleka ng'ombe 10 kwa Ngeleja

    Ngeleja ananunua ng'ombe ili iweje, wazee wameamua kumpelekea ninyi mnaropokwa sijui chama kifanyaje sijui ninii kiweje, Ngeleja ana upepo mzuri sana Tanzania watu wenye akili uchwara kama ninyi ndo atuwataki
  6. M

    Ngereja akataliwa Sengerema

    Kijiji gani unakijua wewe, kazi kutokwa mvuke tuu
  7. M

    Ngereja akataliwa Sengerema

    Hafai anafaaa bibi yako kule kijijini, acha kuongea ongea pumba wewe, juzi wazee wamepeleka ng'ombe kumi kule ina maana wewe unaona hakubaliki na hatakiwi, juzi kazindua kituo cha afya kipya kule kijijini Nyamatogo, unaropokwa kama mtu aliyejifungua juZi
  8. M

    Ngeleja: Mgawo wangu Akaunti ya Tegeta Escrow ni wa msaada

    Wanatokwa mivuke hao ndg, wanang'ang'ania tuu, hoo mara mwizi mara sijui mchafu, mwizi kakuiba wewe na ndg zako, ongeeni hoja acheni kuongea na makalio
  9. M

    Ngeleja: Mgawo wangu Akaunti ya Tegeta Escrow ni wa msaada

    Achana na watokwa povu ndg yangu, Ngeleja sijui ninii Ngeleja kafanya niniii, wana hoja mufilisi, ongea vitu vinavyoonyesha kweli huyu kaiba sio mnatoka mivuke mdomoni..Ngeleja mwizi kakuiba ww?
  10. M

    Ngeleja: Mgawo wangu Akaunti ya Tegeta Escrow ni wa msaada

    You insane!! una uhakika hiyo pesa haikwenda jimboni, halafu kumbuka Ngeleja ni mtu wa watu mfano amefika jimboni wananchi wa kanisa fulani wakamualika kwenye harambee inabid achangie pesa ya kuchangia inatoka wapi? Ndo pesa kama hiZo 40millions ambazo alipewa na Ndg Rugemalira, sasa ukitaka...
  11. M

    Ngeleja: Mgawo wangu Akaunti ya Tegeta Escrow ni wa msaada

    Acha kuropoka, wee nani alikwambia kuna akaunti ya jimbo...then angeutangazia umma kulingana na sheria gani, sheria inadai watumishi wa umma wa subject mali zao na chochote walichopokea iwe msaada au zawadi kila mwisho wa mwaka, Ngeleja kapewa msaada wa kijimbo February 2014 na sakata la escrow...
  12. M

    Sengerema: Wazee wapeleka ng'ombe 10 kwa Ngeleja

    Acha kutokwa mvuke, mtu akimtetea mtu it doesn't mean ana team yoyote, wewe ndo mwenye team sisi hatuna, we are only discussing issues...Ngeleja is just a perfect guy, sengerema people have witnessed that to the mass
  13. M

    Sengerema: Wazee wapeleka ng'ombe 10 kwa Ngeleja

    That's a problem of arguing with fools, did u listen to what Ngeleja elaborated or ts just vaporization which is taking place in your mind...be educated never stand to criticize without giving out satisfactory reasons on your critique...Am not talking issues to arogants
  14. M

    Sengerema: Wazee wapeleka ng'ombe 10 kwa Ngeleja

    SENGEREMA KWA WIVA, WAZEE WAPELEKA NG'OMBE KUMI KWA NGELEJA Na mwandishi wetu,. Wakati kukiwa na vuguvugu la harakati za kuelekea uchaguzi nchini Tanzania, leo asubuh na mapema wazee wa Sengerema wamempelekea mh.Ngeleja Ng'ombe kumi kama kifuta jasho cha mikasa ya kutengeneza aliyokutana nayo...
  15. M

    Kwa vipimo hivi Ngeleja kawapita wanasiasa vijana ndani ya CCM

    Kaa kimya kama hauujui umri wa mtu, unaropokwa tuu, mara Ngeleja ni 50's, Ngeleja kazaliwa 05th Oct 1967, count mwenyewe..upunguze kuropoka
Back
Top Bottom