Recent content by mtanzania in exile

  1. mtanzania in exile

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kaolewa

    TALAKA!!!!!!!!!! sio taraka!!!!!!!! uhhhhhh
  2. mtanzania in exile

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, Tafuta mahari Umlipie Huyo Mwanamke, Hata Kama Hana Bikra

    narudia kuuliza tena, kwa nini watanzania mnaona bikira ni big deal?
  3. mtanzania in exile

    JamiiForums Tanzania Dada yetu ameolewa na tajiri lakini hataki kumuibia mume wake hela ili atukwamue na sisi

    Huna hata aibu kuja hapa kujitangazia kuwa wewe na mama yako hamna uungwana na mna tabia za wizi? Kama mnashida ni kwa nini hamumuombi shemegi yenu akusaidieni? Amemuona dada yenu kwa hivyo ameunga ukoo na nyie sasa ni kwa nini mnataka kumuibia? mlijaribu kumuomba msaada akakataa? mnata dada...
  4. mtanzania in exile

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu kaolewa, haya maumivu sijui nifanye nini

    Chai nyengine bwana!
  5. mtanzania in exile

    JamiiForums Tanzania Epuka kumlipia mahari mwanamke uliyekuta hana bikra. (Ndaza)

    Hivi watanzania mnaona bikira ni big issue sana enh!!!!!
  6. mtanzania in exile

    JamiiForums Tanzania Unaumwa uko hoi kitandani, mke anaenda Dubai kurefresh, anayekupenda kweli ni baba na mama tu

    Sijaelewa unajaribu kutueleza nini. Ni nani huyo alomuacha mumewe mgonjwa akaenda dubai? Nini hasa point ya post yako hapa? Im just confused!
  7. mtanzania in exile

    JamiiForums Tanzania Wachina wakamatwa maeneo ya Oysterbay wakiwa na takriban Tsh. Bilioni 6 taslim zikiwa zimefichwa ndani ya nyumba

    Hicho ndio hasa kilichotokea na wala sio "huenda" vyenginevyo walijuaje kuwa kila bunda moja lina kiasi fulani bila ya wao kuzifungua na kuzihesabu?
  8. mtanzania in exile

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 24 anataka kunipa mimba kabla ya ndoa ili ajue kama nina kizazi

    usijidanganye hakupendi huyo! Anachotaka ni kusex na wewe kavu kavu tu! Anachokitafuta ni kiwanda cha kuzalisha watoto tu! Kama mtu anakupenda issue ya uwezo wa kuzaa au akutozaa haijadiliwi. just look this way anakwambia anakupenda lakini siku akijua huwezi kuzaa atakuwacha! does that look like...
  9. mtanzania in exile

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 24 ila mchumba wangu anataka nimsomeshe. Nifanyeje?

    Sisitiza prenup. Hizi story za wanawake wengi za kutaka wachumba wao wawasomeshe zimekuwa nyingi sana sio tanzania tu bali sehemu nyingi za afrika na mara nyingi humalizikia kwa demu kumkimbia mchumba wake baada ya kumaliza masomo. Kuna mtu kwenye group fulani ame suggest kuwa wakati umefika kwa...
  10. mtanzania in exile

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kufanya kazi ofisi moja, mke wa mtu ambaye ni mtumishi wa serikali akanitrap

    Sio peke yako! Jama hata hajielewi anachoandika.
  11. mtanzania in exile

    JamiiForums Tanzania Nikimuona mwanamke ana miaka kuanzia 40 na kuendelea hajaolewa, inanitafakarisha sana

    Kwani ndoa ni nini? Sikujua kuwa moja ya mafanikio ya maisha ni kuolewa. Wangapi wameolewa na hawana maisha ya amani na utulivu? Wengine wameachwa, waume zao wamewa cheat, wako walotelekezwa na watoto na kuna wale walioachwa na vilema shauri ya vipigo vya waume zao! Sipingi kuoa au kuolewa ila...
  12. mtanzania in exile

    JamiiForums Tanzania Huyu mdada ana maana gani?

    Hii ni chai? Kwa nini usimuulize yeye mwenyewe na badala yake unatuuliza sisi hapa, watu ambao hata hatumjui huyu binti?
  13. mtanzania in exile

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Kukaa na Milioni 10 nyumbani ni kosa kisheria

    Wapi katika hiyo kanuni uliyoiweka hapo juu inasema kuwa ni kosa mtu kuweka kiasi fulani cha pesa nyumbani kwake? Watu tunauliza ni sheria gani gani inayokataza mtu kuwa na milioni kumi nyumbani kwake na sio kutoa pesa nyingi benki kwa mkupuo mmoja!
Back
Top Bottom