Alikuwa anawagombanisha saudia na iran hili apate tenda ya kuuza silaha na kujifanya anaweka ulinzi sasa hv nchi za saudia na iran zimepatana anahangaika tu.
Ww unavyojua hili upindue nchi maeneo gani ya kuteka?au ww unataka kupindua nchi unaenda kuteka shule akili huna halafu unajifanya kuponda watu eti wavaa kobaz vita zozote za madaraka sehemu zinashambuliwa viwanja vya ndege na ikulu aliyopo rais
Naona hauna uelewa wowote wa sheria zinazowalinda wanaoenda huko UN hata puttin akiamua kwenda UN usa hatakiwi kumzuia hata hao waandishi wa habari km wapo sehemu ya msafara wa waziri wa mambo ya nje hawapaswi kuzuiwa haijalishi wanaoingia una uhasama nao kiasi gn inimladi wanakuja kwa issue za...
Sio sawa kuvamia nchi nyingine hila kwa usalama wa russia ilikuwa lazima avamiwe km usa alivyotaka kuivamia cuba alivyosikia ussr inataka kupeleka makombora kule cuba .
Sasa huyo alieongea hvyo ni muislam mbona watu wa LGBTQ mnakuwa na akili za hovyo unaambiwa anaetoa matamshi hayo mgombea urais wa usa ww unaongea unachojua ww kuwa mbinu ya kujitetea wa islam au huyo kenedy nae muislam?punguza chuki zisizo na mpango
Aliekwambia msaada nani?huyo russia tu kamikaze za iran kanunua halafu yy akatoe msaada fighter jet 60 hapo ni biashara tu zamani alikuwa hawezi kumuuzia iran sababu alikuwa anajua israel atalaum hila kwakua israel anasaidia ukraine ndio maana nae kaamua kuuza kwa adui wa israel silaha
Hakuna air defence dunia itakayokuwa perfect 100% km umesikia jn huko israel mnayoisifia ina defence nzuri imezuia makombora lakini mengine yamepenya au usa ameweka ulizi wake saudi arabia lakini drone za houthi zimepenya kwahyo kusema drone zimeingia russia sioni cha ajabu.
Sasa Usa atumie nguvu ya nn kuchukua resources za tanzania wakati wanauwezo kuzipata bila vita makampuni kibao ya Usa wanaacha mashimo huko migodini nchi inaambulia asilimia ndogo ya faida mpk alipokuja jpm kajitahidi kupambana nayo lakini hajafikia mwisho mungu akamchukua hila mngekuwa wabishi...
USA wana budget kubwa ya jeshi sababu wananunua vifaa vya kijeshi kutoka kampuni binafsi wanawauzia bei ya juu zaidi ya uhalisia tofauti na russia kampuni za vifaa vya kijeshi ni za serikali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.