Recent content by Mtanga89

  1. M

    Naomba msaada hali yangu ishakuwa mbaya

    Habari zenu great thinkers, poleni kwa msiba mkubwa wa kiongozi wetu Mh. Benjamin Mkapa, Mimi ni kijana wenu mtanzania shida yangu kubwa nnaomba msaada kama yoyote anaweza kunisaidia nipate angalau kibarua niweze kujikimu maisha maana nimemaliza chuo level ya diploma tangu 2012. Tangu kipindi...
  2. M

    Imekaaje CDF kumpigia salute Mkuu wa Wilaya?

    Humu tusiojua tunapata kujua wengine wanatulisha matango pori
Back
Top Bottom