Hili ni wazo zuri tu la kibiashara. Kwa kuwa ni mara yako ya kwanza ni bora usikurupuke kwa kuwa linachangamoto zake nyingi tu ambazo huwezi kuziona, ukiwa mezani.
miongoni mwa changamoto ni pamoja na wanunuzi wa mpunga wako selective sana aina ya mchele. Kwa hiyo uwe mtaalamu wa mbegu ya mpunga...
Mleta mada nfo unaleta siasa. Kufaulu na kufeli halina siasa. Ndio maana waliofaulu wamefaulu. Na nyinyi mlofeli mmefeli. Nadhani chip sasa wanafanya kazi yao vizuri. Maana hamsomi kabisa ninyi watoto was siku hizi. Mtaka kufanya Kila kitu ninyi. Ulevi, uhuni, uvivu, mabishano yasiyo natija...
Nadhani uchunguzi wako mkuu ulitakiwa ujikite zaidi katika kutambua ni kwa nini wanapiga kelele.
1. Hawa wafugaji japo wadogo wana haki ya kupiga kelele kwa sababu, wameweza kubuni na kuendesha hata kama ni kuku kumi. Kumfuga kuku hata kama ni mmoja tayari inahitaji kujituma, ubunifu na...
Hongera mkuu kwa biashara. Nadhani wahitaji watakutafuta. Lakini swali langu ni moja " je mayai yenye kiini cha njano ni asili yao au ni aina ya chakula/virutubisho wanavyokula" Au mkuu unawalisha nini ili kupata kiini cha njano!
Asante
1. siku ya 1 tengeza brooder kulingana na idadi ya vifaranga. Hakikisha pana joto la kutosha 37 nyuzi joto. Vyombo vya chakula na maji viwe safi. chakula starter kutoka vyanzo bora. Wape glucose na antibiotic kuzuia infection.
3. Wape chanjo, NCD, rudia baada ya siku 28.
4. wape chanjo ya...
Mkuu nashukuru kwa mchango.
Utawala wa bei haushi isipokuwa ubora wa bidhaa unabadilika. Inawezekana wewe kwa mtazamo wako unaona bei hii kubwa lakini kwa wengine ni bei ya kawaida kabisa, na sehemu zingine hii ndio bei rahisi.
Ombi langu kwako mkuu, usiishie kukatisha tamaaa jamii. Jitahidi...
Asante kwa maoni yako mkuu. Lakini naomba usiipotoshe jamii.
Kwanza umekiri kuwa kuna aina (breed) tofauti. Kwa taarifa kama haufahamu vizuri, kila breed/aina ina tabia na ubora wake.
Vivyo hivyo hata ukiwalisha watakua na kutaga kulingana na asili yao (genes) zao. Hivyo jaribu kusogea mbele...
Karibu na hongera kwa kuwa mfugaji wa kuku.
Karibu Sinade poultry farm tuko Morogoro. Tunajighulisha na ufugaji hasa wa kuku aina ya Kuroiler. Kwa mahitaji yako ya Kuroiler karibu uwasiliane na sisi tutakutumia huko uliko.
Kwa ufupi huduma zetu zinazingatia yafuatayo
1. Ubora.
Kuroiler...
Kaka karibu na hongera kwa ufugaji.
Karibu Sinade poultry farm tuko Morogoro. Tunajighulisha na ufugaji hasa wa kuku aina ya Kuroiler. Kwa mahitaji yako ya Kuroiler karibu uwasiliane na sisi tutakutumia huko uliko.
Kwa ufupi huduma zetu zinazingatia yafuatayo
1. Ubora.
Kuroiler tulionao, ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.