Recent content by Mtamaduni Wahoo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kujitoa CWT

    Walimu wa mbeya wameshaanza kuachana na cwt baada ya kuona hakuna maslah (CHAKEMWATA) ni umoja wao.Huko mwanza wapo wana TTN na Kigoma kuna CHAWAHUTA hivyo ni vyama mbadala kwa ajili ya kuwashtua hao cwt kwamba wao si Mungu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kujitoa CWT

    Inawezekana kujitoa kwa hao matapeli.Inategemea kama ulijaza fomu ya TUFno6 wakati wa kujiunga.Kama hukujaza unaweza kudai fidia ya makato yako.Kuna waraka no1 wa serikali wa mwezi may 2013 unaokataza waajiri wote kuacha kukata wafanyakazi bila ridha
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nini wajibu wa chama cha walimu tanzania

    Wale jamaa wanakula fedha za wanyonge.Ni waoga na hawataki kujibu hoja za wanachama wao.Hawana maslahi hata mwanachama akistaafu hawamsaidii chochote
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nini wajibu wa chama cha walimu tanzania

    Ni miaka mingi imepita tangu walipokianzisha miaka ile ya 90 sielewi lengo lao.Je ile ni saccos ya walimu au kinatetea haki za walimu?Walimu wetu wana hali mbaya kwani wengi hawapewi mishahara kamili.Kuna kitu wanaita malimbikizo 'yaani mwajiri kushikilia sehemu ya mshahara wako halafu akulipe...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hali ni tete chuo cha ualimu korogwe

    Mkuu wa wilaya ya Korogwe ametishia kuwafukuza chuo wanachuo wote waliokuwa wakiimba 'people's power' 'hatutaki siasa' na 'Tanzania nakupenda kwa moyo wote'mkuu wa wilaya alidai kuwa ametukanwa na wanachuo wakati alipowasili chuoni hapo,
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tusitumie tena "Division Zero" kwenye matokeo ya Elimu ya Sekondari...

    Kuna jambo ambalo wadau wengi hawalifahamu hapa,jambo ni nia,malengo na madhumuni ya elimu Tanzania(mtaala).Lengo la elimu si kufaulisha wanafunzi bali ni kubagua wanafunzi ktk fani mbalimbali kulingana na uwezo wao wa kufikiri,akili,busara na ubuni
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Wabunge wapingana juu ya Hoja Binafsi ya Mhe. Mbatia, wengine wamfuata nje ya ukumbi!

    Ni wazi kwamba Waziri hakujua tofauti ya mtaala(curriculum) na muhtasari (syllabus)
Back
Top Bottom