Recent content by mtaliitz

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Twaweza: Asilimia 50 ya Wanafunzi S/Msingi nchini hawajui kusoma kwa Kiswahili

    Chanzo cha majanga haya ni CCM.
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA njaa kali, kuanzia leo siwaamini tena, wapo kimaslahi zaidi

    safi saaaaana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    UKAWA majeshi majeshi, CCM ameanza kutetemeka na kusambaratika.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Waliofuatana na Lowassa CHADEMA

    na makufuli alikuwa na wadhamini wangapi? Acha unafiki, CCM mtakiona.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Tulimtukana Lowassa kwa sababu fikra zetu ziliibiwa

    hata mtusi lowassa mara elfu na moja, CCM jueni mmekwisha.....
  6. M

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Tulimtukana Lowassa kwa sababu fikra zetu ziliibiwa

    halelujah
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukata wawafanya UKAWA kununulika kwa fedha za Ufisadi

    inashangaza hata mleta mada hajataja hizi kashfa zote!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukata wawafanya UKAWA kununulika kwa fedha za Ufisadi

    mie mmoja wao
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa is 'Dead' Politically

    CCM cannot kill lowassa's and tanzanians dreams, watch out in oct. My vote 4 lowassa will dethrone chama cha mizengwe.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hivi tulipgana kuondoa mkoloni ili iweje?

    ili wakoloni weusi watawale mafuvu meusi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hati ya Muungano: Nani ameaibika kati ya CCM, serikali na UKAWA?

    na kama ipo kwa nini haiwekwi wanachi? kama nyerere na karume walimix udongo wa tanganyika na zanzibar kwa uwazi, kwa nini hati iwe siri?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    inaonekana TANU iliharibu nyota ya Kambona maana ukiangalia kwa makini mapendekezo yake, yalikuwa ya kimsingi na yangepewa nafasi huenda hivi leo tungekuwa tunajadili historia tofauti.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    hivo Nyerere na Kawawa hawakutaka maoni mbadala! nadhani Kambona alichangia constructive criticism ambayo julius alikataa!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    kuna baadhi ya wanahistoria wanadai Kambona angelikuwa rais bora kuliko Nyerere, walichukuliaje swala hili?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    kwa nini nyerere na kawawa walipitisha azimio la Arusha bila mashauriano na hata bila piloting? Kambona alitaka swala hilo lifanyike kwa utaratibu na kimkakati!
Back
Top Bottom