Ee Mungu uliye mganga mkuu, tunaomba uponyaji wako dhidi ya ndugu John Heche Mbunge wa Tarime. Kama kuna nia au mipango miovu juu yake basi katika Jina la Yesu Kristu wa Nazareth ishindwe kabisa.
Inatisha na inahuzunisha binadamu kufanyiana mambo hayo. Waziri Nchemba atueleze ni wahamiaji haramu toka nchi gani, na je ni sheria gani inayoruhusu wahamiaji haramu kuuawa. Ni aina ile ile ya mauaji ya wanasiasa wa upinzani izima ni pamoja na Mawazo, Dr Mvungi na wengine wengi. Marehemu hao...
Ni sheria ipi ya kama tafadhali inaayoruhusu wahamiaji halafu wauawe? Tunamwomba huyo waziri aieleze Tanzania na Dunia kwa ujumla. Vinginevyo hatua kali zichukuliwe dhidi yake.
Everyone complains, big people from whom we expected to get relieve also complain . So who will save us to do away with this complex situation we are facing.
.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.