mtunzasiri
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 1,446
- 988
Walijua Tundu Lisu akiingia na TLS yake itageuka mwiba mkali kwa serikali ya ccm upande wa kisheria kumbukeni kelele zilizopigwa mwakyembe waziri wa sheria aliyepita, hilo lilikuwa wazi maana walikuwa wamechukulia mamlaka ya kulevya na kujiamlia watakavyo hata kama wanapindisha sheria wao wameshikilia kuvunja tuu mradi wako mamlakani .
Sasa baada ya waziri kushindwa kuzuia maji kwa bao la mkono, akahamishiwa wizara ya habari Magufuri akaona amlete mwl wa Lisu kutetea hoja za kisheria nadhani hapo ndipo wamechemka vibaya sana maana ccm haijawahi kutetewa kisheria, wakati upinzani hoja zao huzitetea kisheria na kwa fact fuatiliane hao wanasheria wao wanashinda mara ngapi kesi za serikali mahakamani ukilinganisha na upinzani, jiulizeni ilikuwaje mwakyembe kulikataa andiko lake mwenyewe la chuo lilimfanya kuwa mwanasheria na kuamua kujitoa ufahamu kuitetea ccm na serikali yake? Na ikiletwa hoja mgombea binafsi huyo profesa kabudi ataitetea sheria au ataitetea ccm na serikali ? vipi kuhusu uchaguzi Zanzibar profesa anaitetea serikali au sheria? Sasa Lisu yuko na TLS yake mahakamani na kesi kibao.
Angalieni ccm haitetewi kwa sheria hata mara moja hata kama mpango mpya nia ni kuanza kuitetea serikali kisheria ilitakiwa ifumuliwe ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali wawekwe vijana watakaokuwa wanatumia nondo zao za elimu tuu na sio kutumiwa na matakwa ya uongozi, na sio kuanzia kwenye matawi kama wizarani kuwekwa mwl wa sheria cheo cha kisiasa!!, ati muwekeeni Lema sero miezi minne kumunyoosha hizo ndizo sheria, ndio ameletwa mwl wa Lisu Prof Kabudi kutetea sheria za namna hiyo? Nadhani magufuri ameafeli Prof Kabudi atafeli vibaya kama alivyofeli Mwakyembe...
Nawakilisha.