Ukoloni ni hali ya kutawaliwa na taifa fulani kwa kiuchumi, kijamii au kisiasa.
Duniani huwezi kuingia baadhi ya sehemu bila
1. Barakoa- mask
2. Cheti cha covid 19.
Hujasafiri nje ya bara au nchi bila kuulizwa swala la CORONA. Tumekuwa watumwa dunia nzima. Hakuna vita kubwa ya utumwa kama hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.