Recent content by Mtabibu wa kweli 000

  1. M

    Natafuta mke wakuoa

    Habari. Umri wangu ni miaka37 natafuta mwanamke wakuoa. Kazi nimejiajiri. Mwanamke ni mtakaye. Awe na umri kuanzia 28 nakuendelea. Awe tayari kuishi popote,Asiwe mrefu Sana,,mwenye upendo wakweli,Dini yeyote. Karibu sana iwapo upo serious tu maana muda ukuta.
  2. M

    Natafuta mwanamke ambaye yupo tyr kuolewa.

    Naitwa Davidson mwenye umri wa miaka 35,Elimu yangu ya kidato Cha nne,kazi biashara ndogondogo, Natafuta mke wa kuoa amnaye yupo tyr kuolewa,mwenye umri wa miaka 27-30 ,awe anajitambua na kujielewa vizuri,awe na mapenzi ya dhati,njoo pm Kama upo tyr,au nitafute kwa namba 0689425236...
Back
Top Bottom