Asante, hayo uliyosema nayatekeleza vizuri tuu. Ila mwenzangu amekuwa akinilalamikia sana simuamshi hisia zake inapofikia tendo na ha feel kama kuna upendo wangu kwake. Pengine kufafanua vizuri mimi huwa na choka sana na kazi maana huanza mchana na kumaliza 6 usiku kila siku J´tatu mpaka...
Za leo wakuu, napenda kuuliza ni mambo gani yatakanayo kufanywa na mwanume ili kuwa romantic kwa mwenzake. Noambeni ushauri maana hili swala limekuwa tatizo sana kwenye uhusiano wangu na wife. Asanteni
Nimesoma mtu mwingine wa SUMATRA Bi Mbwala eti anakataa magari ya abiria yaliyo tumika zaidi ya miaka mitano ulaya eti yasiingizwe Tanzania. Mimi nadhani serikali kabla yakuwapa majukumu watu kama akina Bi Mbwala iwalete huku ulaya waoshe macho waone yapo magari ya miaka mingapi ambayo...
Sasa Bongo usije ukashangaa kesho wanabadili sheria na kuwa nchi ya kutawaliwa na wafalme na malkia, angalau hata wenye siasa hizo wengine nchi zao zimeendelea, kwetu itakua MFALME waziri mkuu MTOTO wa mfalme. Usicheze mbali mwanangu, UGALI NUSU!
Piga ua lakini siku za mwizi ni 40 tu! Zikifika nyie wezi hamtajua kua niwa Tanzania wale mlio waibia siku za sikukuu mkafungua akaunti zenu kinyemela mkidhani wamelala nyumbani na wengine wamelewa mtaani. Mtapondwa mawe kipigo cha mbwa mwizi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.