Jamani kwani tcu walishatoa majina ya wanafunzi wote kwa ujumla au kila mwanafunzi anaangalia kwenye website ya kila chuo alichokua ameomba? Je kuna namna nyingine ambayo unaweza cheki majina tofauti na kuangalia ktk chuo ulichoomba?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.