Recent content by mtaalam kijaruba

  1. M

    Panya Road wavamia maeneo ya Magomeni, Mwananyamala na Kinondoni jijini Dar

    Hakuna loloteee!! Watu wanazusha tu ili wasilipe bili za bia na kuanza kukimbia!!
  2. M

    Maoni yangu kwa Vyombo vya Dola kufuatia Kikwete kufanyiwa Upasuaji wa Tezi dume huko Marekani

    Muanzisha mada ulianzisha mada vizuri,kwa hekma na busara lakini huku naona umeingia katika ushabiki zaidi
  3. M

    Albert Msando atoa maoni juu ya majibu ya miss Tanzania na Lundenga

    Anaulizwa! Cheti cha zamani kilivyopotea ulienda kureport polisi?? Anajibu hakujiandaa na swali hilo!.. Sa kujibu ndio au hapana pia kunahitaji kujiandaa na hilo swali?? Maswali mengine anasema hatoyajibu! Sasa pale kwa press conference alienda kufanya nini???
  4. M

    Tanzania Military Intelligence vs TISS

    Sidhani kama kuna mtu anayejua mafunzo ya TISS yakoje isipokuwa wao TISS wenyewe! Wengi wenu humu mnatumia zaidi hisia kujenga hoja!!
Back
Top Bottom