Recent content by mtaa wa pili

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenzenu nimetoa penzi kwa shemeji yangu bila kutongozwa, imeniuma sana

    OMG yalaaaaah
  2. M

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    kiukweli sijafanya ivo(kuwafollow)ila ntajarbu kuchukua namba zao za sim nimewahi ziona wamezianika kwenye account zao nizilete hapa au nita kupm bila shaka.penye nia pana njia
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lady Jaydee atua kwa mpiga ramli wa Kihindi

    sio kwa sababu alikiri yupo single ila jamaa mhindi alimwambia atapata jamaa mwingine maarufu na mwenye mkwanja mrefu hapa hapa tanzania
  4. M

    JamiiForums Tanzania Lady Jaydee atua kwa mpiga ramli wa Kihindi

    sasa si adi apate uyo mme wa kumsimamia mkwanja wake na aliambiwa bado kwenye maisha yake ya mapenzi aijakaa poa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lady Jaydee atua kwa mpiga ramli wa Kihindi

    unaamini nni?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lady Jaydee atua kwa mpiga ramli wa Kihindi

    we huamini?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    sawasawa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lady Jaydee atua kwa mpiga ramli wa Kihindi

    kuna sehem alimwambia ataumwa sana alafu na stress kibao
  9. M

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    feedback kuhusu ushauri wa innocizy?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Lady jaydee kuja na perfume yake

    judith wambura,juliana kanyomozi,ni miongoni mwa wasanii wa tatu wa afrika mashariki walioingia ubia na oriflame kutangaza biashara zao
  11. M

    JamiiForums Tanzania FID Q ni mfalme?

    walioanza hiphop miaka mi nne nyuma kama young killer,stamina na wengne ni vielelezo
  12. M

    JamiiForums Tanzania FID Q ni mfalme?

    mi sio super star ni national icon/am internationally known kama tyson fid q "jamaa ni msanii mzuri na anaeleweka na pia king kiukweli hakuna rapper asie mwelewa jamaa na ukitaka amini ilo angalia wakina makala ambao kwa hiphop yao AR wanafahamika kama wafalme wanamrespect japo asilimia kubwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Samsung kumtangaza msanii Vanessa Mdee kuwa balozi wa kampuni hiyo

    uyu sista simuelewi elewi kiukweli kama anaviconnection flani kuhusu ma deal anayopiga labda kisa utangazaji wa Mtv
  14. M

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    anzeni kwenye mizizi mameneja lazima mtapata tabu mnaweza anza na majamaa wawili ambao chibu anawatambua kama ni mashabiki zake kuna (oscaniseth)kama sijakosea au jamaa mwingne anaitwa prince wako insta wale wanaweza wasogeza kwa team yenyewe kwa sababu wanatambulika na watawapa sapoti kwa...
Back
Top Bottom