Recent content by MTA1

  1. M

    Bank yenye riba nafuu

    Msimtakie matatizo mwenzio, BAYPORT ni majanga mkuu, wala usijarbu
  2. M

    CCM vs UKAWA: Muafaka ni vigumu kwa kuwatumia Wassira, Mwigulu na Nape

    Chama changu CCM kimekuwa ni mzigo usiokwenda na wakati. hakukuwa na ulazima wa kuwahusisha Wasira, Mwigulu na Nape katika mchakato wa kufikia maridhiano baina na pande mbile hasimu kuhusiana na mchakato wa KATIBA MPYA. Imekuwa siyo siri hawa wajumbe watatu ni vikwazo huku wakitoa misimamo...
  3. M

    Lowassa adaiwa kuifadhili ACT-Tanzania; yeye, ACT wakanusha

    Tanzania Daima ni kipaza sauti cha Mbowe na Chadema; hili gazeti linazidi kupoteza mwelekeo kila siku
  4. M

    Wabunge wa Tanzania wadaiwa kuzipiga Malaysia

    Wajumbe wa PAC ni Zito Kabwe - Chadema, Deo Filikunjombe - CCM, Kangi Lugola - CCM, Esther Bullaya - CCM, Esther Matiko - Chadema, Murtaza Mangungu - CCM, Jerome Bwanausi - CCM, Khamisi Kheri Alim- CCM, Dr.Purudenciana Kikwembe - CCM, Christowaja Mtindi - CCM, Muhammad Chomboh - CCM, Amina...
  5. M

    Kulikoni Uongozi wa CHADEMA wilayani Temeke

    Siku zote najiuliza kuna nini kimeukumba uongozi wa Chadema wilaya ya Temeke; hawafanyi mikutano, huwa wanaonekana wakati wa chaguzi tu. Wamesahau mwaka huu kuna kupiga jalamba uchaguzi wa serikali za mitaa na mwakani uchaguzi mkuu! Iwapo Chadema inataka kuchukua viti vya uongozi ngazi ya...
  6. M

    Muhongo: Sikuomba uwaziri nilibembelezwa kuwa Waziri. !

    Prof Muhongo hana mfano katika baraza la JK yeye ni demo hana kashfa ya ufisadi, ni vigumu kumpata pia ni anajua anachokifanya
  7. M

    Mbunge wa Nkasi mh. Ally Kessy asema Wazanzibar wanachosha, ni mzigo

    Tuelewe Zanzibar ni nchi kamili hivyo Kessy asiwe anaitaja Zanzaibar kama mkoa! Aende akaulize katika chama chake masuala ya Zanzibar kutotoa mchango kwenye uendeshaji wa shughuli za muungano
  8. M

    Yaliyojiri ktk Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

    UKAWA habari yao imekweisha, Tanzania yazidi kusonga mbele
  9. M

    Yaliyojiri ktk Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

    Hongera Tanzania kwa kujiweka sawa sawa kiulinzi
  10. M

    Mwili wa Mtanzania Marekani Wachomwa Moto Kwa Kukosekana Dola 6,000 Tu Za Kimarekani!!

    wewe ni limbukeni, maghorofa siku hizi hata Mbagala Rangi 3 yapo?
  11. M

    Mwili wa Mtanzania Marekani Wachomwa Moto Kwa Kukosekana Dola 6,000 Tu Za Kimarekani!!

    Wewe mwana diaspora kwa nini unashindwa kuja kuwatembelea ndugu zako hapa Bongo kwa zaidi ya miaka 20?
  12. M

    Mwili wa Mtanzania Marekani Wachomwa Moto Kwa Kukosekana Dola 6,000 Tu Za Kimarekani!!

    Mwalukosi mwe!! umeshindwa kukusanya nguvu wewe na Lemutuz mkitumia usanii wenu ndani ya CCM kurudisha mwili nyumbani? Nyie manachoona jambo la maana ni kupiga picha na JK anapokuwa ziarani majuu huku Lemutuz akipiga picha na vimwana vya Bongo pamoja na kumbebea briefcase Bulembo. Nyie wote...
  13. M

    Mwili wa Mtanzania Marekani Wachomwa Moto Kwa Kukosekana Dola 6,000 Tu Za Kimarekani!!

    Kama unaishi maisha mazuri ni sababu gani mmeshindwa kuchanga US$ 6,000???? Ama mnaishia kuishi kwa fadhila za vibibi kizee!
  14. M

    Mwili wa Mtanzania Marekani Wachomwa Moto Kwa Kukosekana Dola 6,000 Tu Za Kimarekani!!

    Hwa wana ni diaspora ni choka mbaya; tunashukuru CCM wamewapiga chini pamoja na kujipendekeza wapate URAIA Pacha imeshindikana, wazidi kubaki hukohuko hawana msaada kwa Tanzania
  15. M

    Mwili wa Mtanzania Marekani Wachomwa Moto Kwa Kukosekana Dola 6,000 Tu Za Kimarekani!!

    Ni aibu kwa wana diaspora; KWENYE MKUTANO MKUU WA CCM WALICHANGA NA KUFANIKISHA SAFARI YA KUJA DODOMA! Tuwalaani kwa kuwa na roho za korosho
Back
Top Bottom