Recent content by MT255

  1. MT255

    JamiiForums Tanzania China vs U.S, utengenezaji wa meli za kibiashara: Kwa mwaka, China inaunda meli zaidi ya 1,700 huku Marekani ikiunda meli 5 tu.

    Unavyowapenda wachina wewe aisee ungekuwa WA kike sasa hivi tunaongea mengine😂
  2. MT255

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hawajui sababu kwa nini Russia kaivamia Ukraine ..

    Kwahiyo watu wote hawajui ila wewe mmatumbi WA kilwa masoko ndo unajua sababu😂😂
  3. MT255

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Israel yako Imara kuliko Jana kukabiliana shambulizi lolote kutoka Iran!!

    Hivi yule babu yenu Khamenei mshamfukia au bado?
  4. MT255

    JamiiForums Tanzania Nani Kashinda Vita ya Marekani (US) vs Iran? Vigezo vya Ushindi ni Vipi?

    Alafu Iran alivyo fala ameenda kwenye kikao na hiv tunavyoongea marekani ameifunga homuz....hiyo ndo super power
  5. MT255

    JamiiForums Tanzania Khamenei katika hali mbili tofauti

    Haya wenye dunia yao wameshasema ni marufuku meli yoyote kufika homuz kama iran kidume apeleke meli aone moto
  6. MT255

    JamiiForums Tanzania Trump atishia kuiangamiza Iran usiku wa leo kama hawatofanya maamuzi ya Makubaliano kabla ya muda uliowekwa kuisha

    Iran msuli ushavuka huko Washakubali watafungua homuz...mamaeee
  7. MT255

    JamiiForums Tanzania Trump Alisema Iran Air Force Kaimaliza Kumbe Alikuwa Kwenye Ndoto

    Hiv unajua maana ya watu wanashambulia wanakokutaka na muda wowote.... Maana yake uwezo wako wa air defense umekufa ndio maana kila siku USA na Israel wanashinda kwenye anga la iran.... Maana yake iran sio tishio kwenye anga lake.... Iran anapigika haswa tena watu wanachagua wapige wapis😀...
  8. MT255

    JamiiForums Tanzania Huenda Marekani hata hayo makombora ya masafa marefu hana!!

    Vita ni mkakati... Unafikiri vita ni kutatalika kama mahindi anavyotatalika iran anapiga vivyohovyo.... Jiulize mabomu anayorusha yana impact gan yamemuua nani?.... Mzee usa ndo taifa lenye nguvu za jeshi za ziada hata Russia analijua hilo ndio maana unaona Russia, china wametuliza vipapa...
  9. MT255

    JamiiForums Tanzania Donald Trump atangaza kusimamisha vita na Iran kwa siku 5 kuanzia leo

    Habar za misikitini....
  10. MT255

    JamiiForums Tanzania Donald Trump atangaza kusimamisha vita na Iran kwa siku 5 kuanzia leo

    Hajasimamisha vita bali amesimamisha mashambulizi kwenye miundominu ya nishati....vita vinaendelea kama kawa sasa hiv naandika hii ndege za Israel zinatandika iran
  11. MT255

    JamiiForums Tanzania Iran wanachezea kichapo jamani loh!

    Wavaa Madera wanakuja kubisha🤣
Back
Top Bottom