mzee ww unachukulia poa au anavyokwambia anaunga watu MB ukafikiri MB za hii mitandao local kuna madogo wataalam wanaunga watu unlimited internet kwa watu wenye simu zinazo support E sim usikalili maisha
Pole sana mkuu sasa fanya iv Usipo pona njoo hapa kuniuliza, Chukua hii formula. Chukua ndizi mbivu moja, karoti mbili, parachichi moja, na Tikiti yale ya kienyeji achana na haya ya kisasa! Kula kwa pamoja Matunda haya Asubuhi na jioni kila siku kwa muda wa mwezi mmoja mfululizo ila tikiti...
Kama ni sayansi na wao sio pekee yao wanaoweza kupima kwann waweke sheria wao tu ndo wawe na mamlaka ya kupima na kutoa majibu ya kipimo hiki?? Kwann isiwe na sehem zingine ziruhusiwe kupima ili mtu afanye comparison ya majibu?
Kabisa mkuu mission hii ukifanya na ikaleta majibu itasaidia sana watu kuielewa taasisi hii! kwasabab mpka sasa sioni maana ya kuweka sheria kwamba Taasisi hii pekee tu ndo yenye mamlaka ya kupima na kutoa majibu kuhusu issue za paternity kwann?? Kwanza hii test ingekuwa inafanywa Na Health care...
Asante kwa ushauri! Mimi ndio msimamizi wa mirath nilie teuliwa kwa taratibu zote kabisa baada ya kikao kufanyika, pia mzee yupo lakin hawezi kuzungumza alipata ugonjwa wa kiharusi miaka 15 iliyopita,. Hata mimi na prefer zaid nikae nao mezani tuyamalize ila ikishindikana itabid twende mahakamani!
Haikufika hatua ya kwenda mahakamani ilikuwa kwenye hatau ya majibishano ya kimaandishi baina ya mawakili wa pande mbili, pia msimamiz wa mirath ni mimi mwenyewe
Tatizo unamuabudi mungu asiye sahihi shida ndo inaanzia hapo ila ungekuwa unamuabudu Mungu alie sahihi alie kuleta hapa duniani wala usingelalamika hapa kama una akili Kb huwezi kunielewa!
Nashukuru kwa ushauri mzuri kiongozi! Uwezo wa kumlipa wakili ninao lakin pia nataka nikae nao mezani kwanza kama tutaweza kuyamaliza mezani fresh wakigoma basi tutakutana mahakamani
Habari zenu manguli wa sheria?
Naomba msaada mama yangu mzazi miaka 10 iliyopita alianzisha kesi kati yake na Taasisi moja kubwa sana ya kidini nchini! Taasisi hiyo iliuziwa kiwanja kikubwa sana na mzee wangu pasipo kumshirikisha bimkubwa nakati ni wana ndoa halali na eneo hilo walinunua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.