Recent content by mswaghili

  1. mswaghili

    Msanii msomi Nikki wa Pili na Fiesta

    Afu watu kama nyie ndio mnasababisha watu wa chuga waonekane wapuuzi kumbe ni we mwnywe unakua haujielewi, its like we ni msemaji wa chuga, acha mambo ya ajabu, usiwe na akili mgando, dunia inabadilika,
  2. mswaghili

    Msanii msomi Nikki wa Pili na Fiesta

    Unafkiri ni swala la uchuga basi, ni baadhi tu ya watu wako na negative perceptions, jelousy, chuki na roho mbaya tu, wakishaona mtu anapata mafanikio lazma waongee
  3. mswaghili

    Msanii msomi Nikki wa Pili na Fiesta

    Mbona mmejaa chuki ivi, mnachuki, wivu, fitna na husda, yani kweli mtu roho inakuuma mpaka unaandaa thread kisa wivu tu, go get a life, jaribu na ww kuimba, afu y'all dont anything about hip hop, embu tafteni vitu vya kufanya, mbona vitu ni simple tu kama haumpendi fata maisha yako, unamfatilia...
  4. mswaghili

    Nimeamua kuacha kujichua leo nina siku ya 5, dua zenu ni muhimu

    kavunja rekodi yangu, sijui anapatia wapi mabao yote hayo..
  5. mswaghili

    Nimeamua kuacha kujichua leo nina siku ya 5, dua zenu ni muhimu

    Uskae tu peke yako ndani babu, ukibaki tu mwnywe umeharibu, kaa sehemu zenye watu wengi wengi, utakua umeepuka vishawishi vya mpnz mkono
  6. mswaghili

    The Working Class, Savages in Suits

    Aiseee daaah kwanza najiona kama ronny vile, naacha pombe shenziiiiiiii, sinywi tena pombe kisa mwanamke... Naelevate my hustle, huu uboya huu..
Back
Top Bottom