Recent content by Msusu Kulwa

  1. Msusu Kulwa

    Nawezaje kumsahau mpenzi wa kwanza katika maisha yangu?

    Jitahidi sana kumsahau maana ukizidi kumpa nafasi akilini mwako huenda ukapata madhara makubwa na kuumia zaidi ya hapo ulipofikia.......... Pole xna ndugu maana inauma sanaaa
  2. Msusu Kulwa

    Maombi ya kujiunga MUM hupitia TCU?

    Maombi ya mum hayapitii TCU hivyo usishangae kuona second round kuwa tayari
  3. Msusu Kulwa

    Wadaiwa bodi ya mikopo kitanzini. Kuanza kukatwa 15% kutoka kwenye mshahara

    Duuuh yaan bora mliosoma mapema maana hii ni hatari. Jamani lakini ikumbukwe hata wao wamepita kwenye hatua hizo Sasa mbona wanaumiza wenzao kiasi hiki?
Back
Top Bottom