Recent content by msumbiji

  1. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

    Nakusisitizia tena. Tumia akili h kidogo. Hivi vi wakitoe mbio urusi uje bongo nchini kwako bado uogope then uende kujificha spain?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

    Tumia akili hata kidogo. Hivi umewakimbia vibaka kutoka Russia. Umerudi hadi Bongo. .....halafu bado uwe na wasiwasi kuw bado watakufuata. Then uende ukajifiche Spain
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Mkuu Mlapanya nimerudi tena. ..........Nimeota Nipo natembea mitaa ya Dar. mara nikaona ndege ndogo inahangaika angani kupaa. Nikajua ni ndege ya upelelezi. Ikawa inakuja chini chini karibu na miti ya michongoma. Nikawa naikwepa naogopa. Mara ile ndege ikaanguka kwenye michongoma juu yake...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wamehangaika kunifungulia Mashtaka, waliposhindwa kunifunga, Wakaamua kunipiga risasi ila Mungu kaniponya

    Naona kama ni makosa. Hivi mtu unaweza kampeni za siasa ukiwa nchi za watu muone sidhani kama ni sahihi. Ngoja tuone kenya watasemaje
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Mheshimiw Mlapanya naomb nitafsirie hii. Nimeota nipo ndani ya ndege emirate si uhakika nilikuwa natokea wapi . Ila baada ya kutua ikaonyesha ile barabara ndefu sana ile barabara ya kutua ndege air strip ambayo ndege inazunguka ili ikapaki. Basi tukazunguka sana. Abiria tukawa hatupendi ule...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Asante sana mapito anayopitia n kuwa aliachishwa kazi. Ila kwa sasa amefanya interview kampuni kadhaa na Dalili za mafanikio zipo. Sasa Sijui kama ina relate to hii ndoto.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Asante sana ndugu Mlapanya. Ila hapa iko hivi yaani wakati ana drive gari ile Gari n walipokuja kumfanyia service wale wanaume. Walikuwa 4. Lakini walipomaliza kumfanyia service wakati anaondoka pale akaingia Mwanaume kwenye gari. Na huyo mwanaume aliyeingia sio katika wale walio 4 waliomfanyia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mvua yasomba daladala na kuitumbukiza mtoni huko Mbezi Luis

    BIMA hailipi kwenye majang ya asili a kingereza inaitwa natural disaster
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Habari Mlapanya....hii ndoto aliota dada yangu. Aliota ana drive gari zuri tu saloon. Anatoka barabara ndogo. Anaingia barabara kubwa. Yaani main Road. Na hiyo ya road anayoingia ni kubwa sana. Barabara nzuri kama za ulaya. Akaangalia vizuri kwa makini akaingia. Aka drive akafika sehemu akapaki...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Rafiki yangu wa karibu sana. aliota nimepata kazi. Tena aliota ndoto hiyo mara mbili katika usiku mmoja yaani ilijirudia kuwa nimepata kazi. Je ina maana gani?
Back
Top Bottom