Recent content by Msudu

  1. Msudu

    JamiiForums Tanzania Kuhusu sakata la jezi za Taifa Stars zilizotengenezwa na Sandaland, Je Waziri na Naibu Waziri zinaiva kweli?

    Kuna muda nahis kama kuja jamaa wamekaa mahali wanasukuma kete zao kwa ajili sana katika kuwatoa watanganyika katika mambo ya msingi.
  2. Msudu

    JamiiForums Tanzania Tuambie majina yako ya utani tukujue wewe ni wa kishua au mtoto wa kitaa

    Yule mpuuzi aliyesababisha kijiji kizima kuniita Idi Amini alaaniwe sana.
  3. Msudu

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka 2026 ila bado mwana JF unaruhusu mgeni alale chumba kimoja na mwanao?

    Kanuni yangu Kuu silali kwa Ndugu na sitaki Ndugu au mtu yoyote kulala kwangu. Mwana ka nyumba kenyewe kadogo kiasi kwamba hata kama ulikuwa na mpango wa, kulala utaona aibu na kuondoka
  4. Msudu

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa CHADEMA wanazitamani pesa za upande wa pili, Kikwazo ni wananchi na viongozi wachache wakiongozwa na Lissu

    Kama siasa ndo inaendesha maisha yako ni Ngumu sana kuwa na msimamo
  5. Msudu

    JamiiForums Tanzania Masikini wote, Mkishindwa Sana zaeni mtoto mmoja Huku mkiangalia uchumi wenu..Mnakera Sana

    Kuna muda natamani sana katika uzao wa Baba na mama yangu tungezaliwa wengi. Pumzika kwa Amani Baba, mama na Dada yangu
  6. Msudu

    JamiiForums Tanzania Machawa wamechanganyikiwa baada ya IGP, CDF na DCI kupewa amri ya kwenda kutoa ushahidi

    Njia rahisi ya kuwaokoa ni refa kumaliza mechi kabla ya dakika 90
  7. Msudu

    JamiiForums Tanzania Poleni jeshi la polisi kwa msiba huu mzito

    Nafahamu Nje ya kazi yake no baba wa familia, na mume wa mtu Ila Amiri jeshi Mkuu wao alisema Kifo ni Kifo tu. So, tuishi humo.
  8. Msudu

    JamiiForums Tanzania Waliokufa wamekwenda wapi??

    Hakika katika hili una hoja,
  9. Msudu

    JamiiForums Tanzania Waliokufa wamekwenda wapi??

    Jibu sahihi utalipata siku ukifa.
  10. Msudu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

    Kifo ni kifo tu
  11. Msudu

    JamiiForums Tanzania Kwamba mungu amepiga OFU TAGETI?

    Israel leo kawa kama Dumbia bado kidogo tu iwe on target ha ha ha
  12. Msudu

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kwamba kukaa mbali na dini ni kukaa mbali na Mungu?

    Watu kwa maslahi yao binafsi
Back
Top Bottom