Recent content by Mspeasant

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimelima nyanya heka 1 nimepata faida ya Tsh. Milioni 9 ndani ya miezi minne

    +255 683 665 220 namba ya jamaa yupo sokoni chanika,mzigo wowote ulio nao wewe na wakulima wenzako mnaweza leta.kama mna supply ya uhakika
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ingilia kati tulipwe fedha za mradi wa Ufugaji samaki kupitia Vizimba-Mwanza

    Habari mkuu,hebu elezea kinaga ubaga tuelewe,ilikuaje na umefikia wapi?mmeshalipwa?mmeshaanza kuvuna?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Eneo la kufugia samaki kwa njia ya vizimba (cage culture) linakodishwa

    Kupata kilo moja ya samaki inatumia kilo moja ya chakula,on average kilo moja ya chakula ni 3600 per kg Kwa chakula imported,kuna gharama za vifaranga bei ni 150-300tshs Kwa kimoja,ongeza gharama zako zingine binafsi usafiri,kusafisha vifaranga,kusafisha chakula,kijana WA kulisha,etc... profit...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, teknolojia katika ufugaji wa samaki inaweza kuleta athari?

    Mi nachangia kidogo hapo kwenye point ya Pili.Ulishaji WA chakula Chenye hormone unafanyika wiki ya pili baada ya vifaranga kuanguliwa,nadhani tuna assume mpaka muda wa kuvuna samaki miezi kadhaa mbele effect hazitakwepo. Ila njia hii imeshakua ya kizamani Kwa vile haina uhakika,haibadilishi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimelima nyanya heka 1 nimepata faida ya Tsh. Milioni 9 ndani ya miezi minne

    Nyanya ya masika ni ya Moto ,inabidi utarget kuivuna wakati masika inataka kuanza,au upande katikati ya masika ili wakati inatoa maua mvua ziwe za mwisho mwisho,na wakati wa matunda ziwe zimeshakata,....ila mvua ikikutaa ndo nyanya imezaa hesabu maumivi....mbegu kama imara na kipato , midogo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimelima nyanya heka 1 nimepata faida ya Tsh. Milioni 9 ndani ya miezi minne

    Ndio udongo WA kuotesha tunanunua,mfano unanunua nyanya gran 25 ,Kwa 360,000 na udongo 100,000.ni gharama nafuu kuliko kutumia mbegu zaidi ya gramu 60.kwa kumwaga chini
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimelima nyanya heka 1 nimepata faida ya Tsh. Milioni 9 ndani ya miezi minne

    Basi kama huwa mnauza Hadi Kwa kilo man Raha Sana,huku Dar ni makreti Tu,na nyanya ya morogoro ukianza kuingia basi bei inaporomoka
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimelima nyanya heka 1 nimepata faida ya Tsh. Milioni 9 ndani ya miezi minne

    Kabla hujataka kuingia kwenye kilimo hichi lazima uwe na uhakika WA maji ya kumwagilia(hela ipo kipindi cha ukame),Je Una kisima ama mto usiokauka?budget iliyokamilika ya mbegu,dawa na mbolea,chakula cha wafanyakazi Kwa miezi 4....cha Kwanza ingia YouTube,jifunze jinsi ya kusia mbegu,na kuna...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimelima nyanya heka 1 nimepata faida ya Tsh. Milioni 9 ndani ya miezi minne

    Otesha mbegu moja moja kwenye tray .nenda YouTube tafuta video za jinsi ya kusia nyanya kwenye tray.usimwage chini
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimelima nyanya heka 1 nimepata faida ya Tsh. Milioni 9 ndani ya miezi minne

    Uko wapi wapi,tenga unauzaje?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimelima nyanya heka 1 nimepata faida ya Tsh. Milioni 9 ndani ya miezi minne

    Mi natumia drip lines,Kwa hiyo napanda kila umbali WA sentimita 60
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimelima nyanya heka 1 nimepata faida ya Tsh. Milioni 9 ndani ya miezi minne

    Sisemi kama jamaa ni muongo,au labda Kwa vile mgeni mbinu zake za uoteshaji mivhe ni hafifu.Mimi nalima nyanya Kwa miaka mitatu sasa,nikiotesha miche kwenye gram 25 ya nyanya dhahabu au imara napata miche elfu Tisa(9000) kwenye ekari moja unaingia miche haizidi 7000,kama kuna miche kufa au...
  13. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kwa wale wanaoteseka na maji ya chumvi pata machine ya kuchujia maji chumvi kuwa maji baridi

    hizo filter za kuondoa magadi na chumvi chumvi zinaitwaje mkuu ?Na je kama shida yangu ni chmvi tu naweza kufunga hiyo filter moja?Google inanichanganya
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jabiri Kigoda akamatwa na magari matatu ya wizi

    Mzizimians tusianikane bwana 😏
Back
Top Bottom