Recent content by Msorokoto

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva

    Habari za muda huu? Nina miaka 19 ni kijana wa kiume nina leseni ya udereva daraja D, nina cheti cha Veta pamoja na cheti cha form four. Ninaishi mkoa wa Kigoma wilaya ya Kigoma mjini, ninatafuta kazi ya udereva iwe, kwa watu binafsi, mashirika, makampuni, taasisi n.k. Kwa yeyote mwenye...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wasifu huu naweza kupata nafasi ya kujiunga na chombo chochote cha ulinzi na usalama?

    Asante sana kwa ushauri wako ndugu yangu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wasifu huu naweza kupata nafasi ya kujiunga na chombo chochote cha ulinzi na usalama?

    Kwakweli ndugu yangu tangu utotoni ninapenda kufanya kazi kwenye vyombo vya ulinzi na usalama... Kwahiyo hata kama ningefika chuo kikuu bado mapenzi yangu yangekuwa kwenye hizo kazi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wasifu huu naweza kupata nafasi ya kujiunga na chombo chochote cha ulinzi na usalama?

    Chizi anachekesha akiwa hatokei kwenu. Chakula cha msibani ni kizuri kama msiba sio wa kwenu, unapoona mtu kaomba ushauri jaribu kutumia maneno yenye hekima ndani yake bro nakama hauwezi wewe pita wala usiongee lolote. Kufeli form four sio kufeli maisha nakufaulu form four sio kufaulu maisha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wasifu huu naweza kupata nafasi ya kujiunga na chombo chochote cha ulinzi na usalama?

    Zipo lakini ndoto yangu huwa ipo huko mkuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wasifu huu naweza kupata nafasi ya kujiunga na chombo chochote cha ulinzi na usalama?

    Asante kwa ushauri wako [emoji120][emoji120]
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wasifu huu naweza kupata nafasi ya kujiunga na chombo chochote cha ulinzi na usalama?

    Sio mimi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wasifu huu naweza kupata nafasi ya kujiunga na chombo chochote cha ulinzi na usalama?

    Asante kwa ushauri wako [emoji120] [emoji120] [emoji120]
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wasifu huu naweza kupata nafasi ya kujiunga na chombo chochote cha ulinzi na usalama?

    Asante kwa ushauri wako ndugu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wasifu huu naweza kupata nafasi ya kujiunga na chombo chochote cha ulinzi na usalama?

    Maswala ya kuwaza kuwa kule ndio kuna watu wa aina hiyo hayo ni mawazo yako ndugu. Nilichoomba ni ushauri tu nasio kuanza kutafsiri kwa maana zako binafsi ambazo zinakuwa kama zinawashusha watu thamani yao.... Hata hivyo asante kwa ushauri wako [emoji120][emoji120]
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wasifu huu naweza kupata nafasi ya kujiunga na chombo chochote cha ulinzi na usalama?

    Asante sana [emoji120][emoji120]
Back
Top Bottom