Recent content by Msoro wedu

  1. M

    CCM yatangaza kurudia majimbo 5 kura za maoni

    Hili tatizo sielewi litaisha lini,hadi wao kwa wao wanazidiana?
  2. M

    Wizi wa matela CRDB

    Jamani muwe macho sana mnapowapa matela wa CRDB hela. Kuna huyu mmoja hapa Mbezi Mwisho, kijana wa kiume mweupe, ukimpa hela wakati wa kudeposit anazichanganya fasta na nyingine halafu wakati anazihesabu na mashine anakuambia mara kumi moja hamna, jana nilimpa mamilioni ya pesa cha ajabu...
Back
Top Bottom