Recent content by msomi maskini

  1. M

    Interview za afya na haki

    Yaani ndugu hapo naweza kusema kwamba serikali imetengeneza mianya ya rushwa kwa wasaili dhidi ya wasailiwa, Pia imetengeneza matumizi mabaya ya fedha dhidi ya watafuta ridhiki Bora hata awali mtu alikuwa akituma maombi anabaki kusuburiyaani anaumizwa na pesa ya kwenda kutuma maombi kule...
  2. M

    Interview za afya na haki

    Hapo rushwa Zitasikika kwelikweli, kama usaili wa watendaji wa vijiji watu hutoa rushwa je hii vipi? Serikali imejipanga? # Technical know whom and not technical know how. Pili binafsi mim naona ni kuwaharibia nauli vijana jobless maana mtu anaenda kwenye usaili kajichanga kwelikweli anarudi...
  3. M

    Jimbo la Buhigwe linaliwa kama mchwa

    Kuna madudu Buyenzi secondary madudu ya mkuu mpya aliyeletwa achunguzwe maana yeye anajikita kwenye kula Hela ya shuletu, ndani ya miez michache ashatoa Hela nyingi Sana kwenye akaunt ya shule kutekeleza upigaji, mfano ishatolewa karbia ml1.6 kutekeleza ukarabati wa viti na meza lakn hakuna...
Back
Top Bottom