Recent content by Msomaliii

  1. Msomaliii

    JamiiForums Usiku wa manane

    Niko maskani kwangu tu nimezubaa mpka time hii nafunga ukurasa ni saa04:25.
  2. Msomaliii

    JamiiForums Usiku wa manane

    01:47 bado nimezubaa 🤔🤔 Nani tujumuike?
  3. Msomaliii

    PostGE2025 Tuhuma za Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Gwajima kwa Jeshi la Polisi zinaweza kupelekea kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu

    Hiyo kwenda kuifuata unaweza kutamani kucheka mbele yao, vituo vya polisi Kuna matendo na kauli kama hujitambui unaweza kuwekwa ndani kwa kushindwa kuvumilia
  4. Msomaliii

    PostGE2025 Dkt. Mwigulu: Tanzania ni mali yetu sote, si mali ya Serikali wala Chama cha Siasa

    Au labda kaambiwa na Mganga mkuu' ile Tai ya Taifa bendera asiivue 🤔🤔🤔🤔
  5. Msomaliii

    PostGE2025 Tuhuma za Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Gwajima kwa Jeshi la Polisi zinaweza kupelekea kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu

    Wewe ambae si askari unaweza kwenda kwenye LINDO la askari polisi kuiba Tena na kuvunja huku wao wakiwa Kazini? Kwa amri na hakuna alyejeruhiwa🤔🤔🤔 Tumia uwezo wako kiakili na ufahamu uliobarikiwa kuchanganua mazingira yako'
  6. Msomaliii

    PostGE2025 Tuhuma za Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Gwajima kwa Jeshi la Polisi zinaweza kupelekea kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu

    We jamaa acha kua mpumbavu. Yaani kanisa lilindwe na polisi Tena kwa amri ya kufungiwa na Serikali alafu Leo mali hazipo kipindi linafungwa alafu ukaseme ni shetani ndo aliiba na kuvunja????🤔🤔🤔🤔🤔🤔 Kuna muda unatakiwa ujiongoze kwa umri wako na mazingira uliyopo. Wewe binafsi ushawahi...
  7. Msomaliii

    PostGE2025 Tuhuma za Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Gwajima kwa Jeshi la Polisi zinaweza kupelekea kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu

    We jamaa acha kua mpumbavu. Yaani kanisa lilindwe na polisi Tena kwa amri ya kufungiwa na Serikali alafu Leo mali hazipo kipindi linafungwa alafu ukaseme ni shetani ndo aliiba na kuvunja????🤔🤔🤔🤔🤔🤔 Kuna muda unatakiwa ujiongoze kwa umri wako na mazingira uliyopo.
  8. Msomaliii

    Mzee mmoja alinisimulia kuwa zamani Idara ya Usalama wa Taifa (special branch) ndio ilikuwa inampangia Rais nani awe kiongozi

    Ndugu Kwanza hujui unachoandika na pia hujitambui ki fikra. Hivi hufanyi kazi ama hujumuiki na jamii ya wengine hapo mtaani kwako?? Acha kua mpumbavu kiasi Hilo na wakati ukweli hata wewe unafahamu labda uwaambie hayo maneno familia yako ndo watakuelewa. Tanzania hatuumizwi na udini na kamwe...
  9. Msomaliii

    PostGE2025 Dkt. Mwigulu: Tanzania ni mali yetu sote, si mali ya Serikali wala Chama cha Siasa

    Sijuh ana nini ila kila nikumuangalia namuona sawa na wahuni tu Tena wale.........
  10. Msomaliii

    PostGE2025 Nini kifanyike ili maandamano ya D9 yasimwathiri mwananchi wa kawaida hasa kiuchumi

    Kwanza wote tukubali mabadiliko yana gharama. Nadhani pia kunahitajika muongozo wa namna ya kufanyika kwa maandamano Toka kwa waandamanaji wenyewe au viongizi, hii itaepusha na wale wasiohusika moja kwa moja na maandamano na pia itaweka mipaka na namna vikosi vya ulinzi hasa Police ku behave.
  11. Msomaliii

    DP World Ilivyozima dili chafu za TEC. Bandari ya Dar, hasira kwa Rais Samia

    Tena waambie vyema, tunaongoza kwa kumiliki silaha za moto majumbani mwetu.
  12. Msomaliii

    DP World Ilivyozima dili chafu za TEC. Bandari ya Dar, hasira kwa Rais Samia

    Jambo la wananchi wengi ni mabadiliko ya kiutawala.
  13. Msomaliii

    DP World Ilivyozima dili chafu za TEC. Bandari ya Dar, hasira kwa Rais Samia

    Watafutane wao kwa wao wenye hizo taasisi zao yaani BAKWATA NA TEC alafu wakatane vichwa. Huku kwetu huo upuuzi wa kidini na ukabila hakuna na tunaishi fresh tu. Hata kwenye haki tumeungana na ndo maana mtoto wa mzee Suleiman na mshikaji wake Adam mtoto wa mama Sarah wakaenda kuandamana na Watu...
  14. Msomaliii

    DP World Ilivyozima dili chafu za TEC. Bandari ya Dar, hasira kwa Rais Samia

    Kumbe mchongo ulianzia mbali Sasa Leo hii Uislam na ukristo unaingiaje!!!🤔🤔🤔
Back
Top Bottom