Habari wakuu, napenda kufahamu bei za frem za biashara dodoma zinaendaje
.
Biashara kama
1. Furniture
2. Mapazia, mashuka, godoro, neti,
3. Hardware
...
Napenda kufamu bei za frem na mzunguko wa biashara wa hivyo vitu
Pia kupata experience ya dodoma palivyo kwa biashara
..
Ahsanten[emoji120]
Habari wapendwa, niliwahi uliza kati ya Goba & Kigamboni wapi pako poa.
Kutokana na uwepo wa jamaa zangu wengi maeneo ya kigamboni, nimeamua kwenda huko.
Sasa kisota na kibada ndo napawaza maana bei maeneo hayo zinaonekana hazipishani sana
Kwa uzoefu wenu kisota na kibada wapi panaFaa zaidi...
Summarry nimepata points zifuatazo
Goba faida yake
1. Ni sehemu iliyo connect na maeneo mengi ya mjini (mbeziBeach, makongo & kimara)
2. Ni makazi mapya ( Watu wanaweka mijengo kwelikweli)
3. sehemu nyingi Usalama upo kutokana na aina ya watu walioJenga
4. Ipo connected na maeneo mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.