Recent content by MSOLLA MALIKI

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto: Wagombea wote 18 wa ACT-Wazalendo kisiwani Pemba wameenguliwa

    Kinachoshangaza ni upinzani tu wanakiuka taratibu na unakuta wasomi wazuri wanaojua kujaza fomu vizuri kuliko hata wale wa chama tawala. Ingetokea wa chama tawala hata mmoja kaenguliwa kwa kosa hilo watu wangeona kuna usawa kwenye utendaji kazi wa tume. Tume imekuwa ikifanya kazi kibaguzi sana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

    Kujiajiri ni wazi kabisa unapata uhuru wako uliokamili kabisa kwa sababu nyingi sana. 1. Kuweza kufanya kazi/biashara ambayo ni moja ya vitu unavyovipenda sana hapa namaanisha hobby ya mtu husika. Kufanya biashara ambayo ni hobby utafanya bila kinyongo na kwa kujituma sana. 2. Kufanya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Miaka 35 huna familia, gari, nyumba wala mashamba... Unategemea miujiza gani kutoka Mbinguni?

    Ni kweli... Bora ukawa kwa mzazi lakini mzazi ndio anakutegemea sio unakuwa tegemezi. Tupambane kujikwamua kimaisha
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Makontena ya Makonda: Rais Magufuli amshukia kama Mwewe, amtaka alipe kodi

    Ngoja sisi tutulie picha liendelee
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Um Umefumbua macho watu wengi sana. Lakini nina hitaji msaada kujua maana kuna bidhaa unakutaa zinaandika haziwezi tumwa Tz, je baada ya kulipia bidhaa destination naweka ya yule dalali au naweka yangu. Hapo sijakupata vizuri
Back
Top Bottom