Maproo wengi in waganga njaa, wakishateuliwa huwa kimya. Wale vizuri. Ole wao! Mwl alitoaga mfano Wa mkulima kutumwa na kijiji kitafuta chakula wakati Wa njaa, sijui kama wasomi wetu wanasomaga nasaha za Mwl.
Tenga 5m, ununue Hisa, pale DSE, tena nunua za hiyo kampuni yao ya DSE hisa zai zinapanda haraka, kisha iliyobaki tafuta Kiwanja cha mil 3, then Mil 12 jenga nyumba yenye mfumo Wa kupangisha, visipungue vyumba kumi na kuendelea. Still baada ya muda utakuwa uko pazuri na Kodi yako uchukue kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.