Nimejifunza sana kuhusu watu wa kufanya nao deal. Nitazidisha umakini sana kwenye circle yangu! Sio kila mtu unatakiwa ufanya naye deal, hata kama ni rafiki yako!!
Utakua unaishi nje ya Tanzania!!! Yaan MD wa sasa anayeimaliza CRDB ndo wa kumlinganisha na Kimei kweli? Toa mfano hai wa hizo structure mpya ambazo amefanya zaidi ya kula bata Dubai na kutembea na msafara wa mama kila anapoenda!! Kama huelewi kaa kimya mzee!!
Mkuu pole kwa kupata muda wa kufuatilia FUTUHI ya CCM. Ni aibu na fedheha kwa chama na serikali. Wameona watuletee huyu mtu na hakuna chochote anachoeneza zaidi ya kuwabwaja. Very hopeless
Makonda acha upuuzi ndugu...huo sio ueneze bana mdogo. Unatia kinyaa kwa huu aina ya uenezi wako... This is pathetic!!! Zungumzia matatizo ya watanzania, acha Mbowe akae na siasa zake. By the way we na Mbowe ni mbingu na ardhi, hata robo huingii kwa yule mwamba!!
Eneza mambo ya CCM, mbona...
Wanajificha wapi sasa wasionekane na huo usafi wao?! Naomba uwataje na uonyeshe waliposimamia kwa dhati na kwa .maslahi mapana ya nchi zaidi ya kundi fulani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.