Recent content by msitu wa pande

  1. M

    Dk Slaa hajakomaa kisiasa

    Naona umeamua kuwatukama Askofu Desmond Tutu na Mzee Nelson Mandela hadharani. Yani unafananisha Bendera na leso ya makamasi!
  2. M

    Dk Slaa hajakomaa kisiasa

    Naona umeamua kuwatukama Askofu Desmond Tutu na Mzee Nelson Mandela hadharani. Yani unafananisha Bendera na leso ya makamasi!
  3. M

    Hatimaye afande Kova ajibu shutuma juu yake

    Yani anajichanganya hadi raha!
  4. M

    MH. Kingwangalla. Bado Tunasubiri Al-Badir Ya Ulimboka

    We unataka isomwe Al badri hili Dar es Salaam tukose kamanda wa kanda maalumu, au unajifanya ujui kama Cova ndio alitekeleza lile tendo? :yawn:
  5. M

    Mkutano wa CCM wilaya ya Mpanda

    Nape anafanya trip apate PER-DM, msimuaribie kibarua chake, akitoka hapo anaandika report ya utekelezaji anampelekea Dhaifu afarijike:playball:
  6. M

    Ni nani aliyemtuma mkenya kumteka Dr. Ulimboka?

    Kabla ya kuendelea kujiuliza kuhusu huyo ''Mkenya''. Naomba mkumbuke maneno ya Kamanda Zombe enzi zake kuhusu wafanyabiashara walio huwawa Msitu wa Pande; then tukagundua ilikuwa deal lake mwenyewe. Ntakuwa wa Mwisho kushangaa nikisikia its Cova himself who tried to Kill Dr Ulimboka!
Back
Top Bottom