MH. Kingwangalla. Bado Tunasubiri Al-Badir Ya Ulimboka

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Mheshimiwa, kumbuka ahadi yako.Isije ikawa ulitudanganya ukitafuta umaarufu wa kisiasa. Hata kama hauwezi kutufanyia albadir, tunaomba utuelekeze ni wapi. tutakusanya hela zetu ili tunafinishe shuguli ya kuwaumbua hawa wakatili waliopoteza mwelekeo. Tunaomba usiogope. Kama vipi anzisha thread humu na jina la kalamu ili tupate maelekezo ni wapi pa kwenda. Jana Bar moja hapa mjini waungwana wengi wamelijadili hili swala na wapo tayari. Njia yoyote ile sisi tupo tayari. Kwa ndio njia pekee ya kujikomboa dhidi ya hii serikali ya kidhalimu inayoongozwa na dhaifu M-Kwere. anajifanya swala tano, tuone kama atapona Al-badir
 
Duh! Sijui kama wataalam watakubali, kwani mtaalam mkuu yupo Bagamoyo mlingotini ni yule aliyemfanyia kitu mbaya Ditto kisha kufia kiunoni mwa demu.
 
We unataka isomwe Al badri hili Dar es Salaam tukose kamanda wa kanda maalumu, au unajifanya ujui kama Cova ndio alitekeleza lile tendo?
:yawn:
 
daktari kigwangalla huenda anaendelea na maandalizi kabambe kukusanya masheikh toka Mombasa,somalia,na saudia rabia;
tumpe Muda mh. huyu ambae anamajukumu ya kibunge dodoma na nzega....ila hata hivyo alivyo onyesha concern yake kuhusu tukio ni hatua nzuri kwake na nafsi yake tofauti na kabisa stella Manyanya na prof, maji marefu.

niliona Machozi yakimtoka alipokua akihojiwa star tv on very same day,huenda maamuzi ya kusoma al badr ni emotional decission ambapo alipo tulia alibadiliki approach ya kudeal na suala hili la rafiki yake kipenzi dr.Uli.

Karibu kigwangallah ueleze mwenyewe,
 
Back
Top Bottom