Recent content by Msitari wa pambizo

  1. Msitari wa pambizo

    Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

    Kwa utabiri wa Biblia kwamba watatokea manabii wa uongo katikati yetu, huo pekee ulipaswa kukudhihirishia kwamba Ukristo ni dini ya kweli. Tatizo hamsomi biblia wenyewe mnasubiri kuangalia mahubiri YouTube. Na mtakimbia sana mkifikiri mnakoelekea ni salama, kumbe huko ndo hata kipofu anayaona...
  2. Msitari wa pambizo

    Serikali inapaswa kuratibu madarasa ya kufundisha watoto wadogo dini kupitia mfumo rasmi wa elimu

    Siyo kila dini inaweza kutangaza upendo. Zingine ni mbilinge mbilinge mwanzo mwisho
  3. Msitari wa pambizo

    David Kafulila ahutubia Dunia kupitia Africa Energy Summit M300

    Sasa kuna kingereza cha kustaajabisha hapo? Hicho si kile cha form two kabisa, na lafudhi ya kiha kabisa naisikia
  4. Msitari wa pambizo

    Yeriko Nyerere: CIA waliamini Mtu aliyepaswa kukabidhiwa Nchi ya Tanganyika baada ya Wakoloni Waingereza kuondoka ni Mangi Thomas Mariale!

    Kilichosababisha wampe nchi bila kumwaga damu sio kwa sababu Nyerere alikua na akili ila ni kwa sababu koloni hili halikua Lao. Walipewa tu kama waangalizi baada ya vita vya kwanza vya Dunia. Kwa hyo hata wao hawakua na full mandate ya koloni hili
  5. Msitari wa pambizo

    Car4Sale Vitz new model

    Bei ni kubwa mno.
  6. Msitari wa pambizo

    Rushwa nimekubali ina nguvu kubwa sana, huyu ni mtu mmoja kwa masaa tofauti,ila kauli tofauti!

    Issue sio rushwa hapo. Issue ni kuharibu brand ya taasisi wakati hauna tangible evidence. It's very simple kwamba angeitwa mahakamani kuthibitisha anayoyasema angeweza? Hivi vibinti vya tiktok vikishaona vina makomwe makubwa vina bwabwaja tu. Kuna kamoja kalitumwa na mpinzani wa kampuni yangu...
  7. Msitari wa pambizo

    Mapokezi ya Heche Vs Wassira mkoani Mara

    Au mimi ndo nimekuelewa peke yangu 😄
  8. Msitari wa pambizo

    Teacher's vacancy

    😄 alaf anatafuta walimu wa kufundisha kinyakyusa. Si angeenda hapo jirani Mbeya wamejaa
  9. Msitari wa pambizo

    Teacher's vacancy

    Sasa kweli shule iko Kibondo nauli tu mtihani. Alaf walimu wa kichina utawapata wapi ndugu?
  10. Msitari wa pambizo

    Mungu kama upo unapaswa kuniomba msamaha

    Mungu nahisi nimekukosea kwa kuufungua uzi huu na kuusoma. Nisamehe Kristo Yesu, nakuaminj na nakutegemea katika maisha yangu. Umenitoa mbali sana, kama sio wew kuwambwa mslabani sijui ningekua wapi mimi.
Back
Top Bottom