Recent content by msindohr

  1. msindohr

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na mapesa unaweza kununua kila kitu, isipokuwa mambo haya

    Kwahiyo watu wanatafuta pesa ili wasife???
  2. msindohr

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na mapesa unaweza kununua kila kitu, isipokuwa mambo haya

    Unatafuta pesa ili ununue hayo mambo au una malengo yako?? Furaha ni nini? Hivi kama furaha yako ni mama yako, lkn anaumwa ukatumia pesa kumtibu hiyo pesa haijakurejeshea furaha?? Au unahs furaha ni kitu km kiatu unakinunua kwa mara1? Furaha na ujinga mwingne wote ulioandikwa ni mchanganyiko...
  3. msindohr

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na mapesa unaweza kununua kila kitu, isipokuwa mambo haya

    Kwamba ukiwa huna pesa hivyo vitu ndio utavipata?????
  4. msindohr

    JamiiForums Tanzania Ni yapi maoni yakokuhusu game ijayo ya Simba na Yanga?

    Simba ataendelea kuwa mteja? Kocha mpya wa Yanga naye ataiona Simba?
  5. msindohr

    JamiiForums Tanzania Siangaliagi SAFARI CHANNEL kwa sababu ya Mambo Kama haya ya kitoto kabisa

    Sasa kama HUANGALIAGI unajua wanaonesha(ga) nini kila siku?? Unapata wapi ujasiri wa kuzungumzia kitu usi kifatilia??? Halafu kwann uoneshe hicho ina maana umekipenda
  6. msindohr

    JamiiForums Tanzania Ni wapi hasa (hospital au sehemu yoyote) wanakubali uchangiaji wa figo?

    0+ ready to donate from Dar
  7. msindohr

    JamiiForums Tanzania Natafuta figo

    Poleni mimi nina 0+ nipo tyr kutoa kwa mwenye uhitaji
Back
Top Bottom