Habari wana JF,
Ninatafuta kazi either permanent or temporary kwenye hospital au dispensary upande wa NHIF E-Claim. Nina uzoefu na weled wa kutosha kuhusiana na uingizaji data wa hizo forms za wagonjwa wa NHIF kwa mwenye uitaji au mwenye kufahamu mahali wanauhitaji. Pls naomba connection...
Habarini wakuu. Naomba niwaulize swali wana jf, je kuna mtu alitumaga maombi katika hiyo kampuni tajwa hapo juu,na je walishaita watu kwenye usahili au bado??naombeni Masaada kwa anayefahamu anijuze. Thanks
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua smtym kama huna lakusema it's better ukaa kimya.. Hujalazmishwa..cz naona u talk nonsense and stupidity things ase.. Eti rud nyumban uliambiwa niko ugenin au?? Be like an educated and learned person sio kuropoka ropoka tuu.. Mxieeeew.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni binti, umri miaka 24,kwa upande wa elimu nimemaliza diploma mwaka huu mwezi wa 6 chuo cha utumishi wa umma nimesomea fani ya utunzaji kumbukumbu na nyaraka
Kwasasa ninavyeti viwili cha level 4 na 5 level 6bado havijatoka ninatafuta kazi yoyote kwa sasa nikisubiri cheti changu nipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.