Natafuta kazi kwenye hospital au dispensaries upande wa Data Entry (NHIF E-CLAIM)

mama_p

Member
Aug 2, 2017
7
45
Habari wana JF,

Ninatafuta kazi either permanent or temporary kwenye hospital au dispensary upande wa NHIF E-Claim. Nina uzoefu na weled wa kutosha kuhusiana na uingizaji data wa hizo forms za wagonjwa wa NHIF kwa mwenye uitaji au mwenye kufahamu mahali wanauhitaji. Pls naomba connection.

Thanx

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom