Recent content by msigara

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ningekutana na Rais leo, Nimgemwuliza kwanini amemtoa Mchengerwa Utawala Bora

    Kweli Mhe Mchengerwa amesemewa na kupiganiwa sana kwenye makundi mengi juu ya kubadirishwa kwake Wizara. System na Mamlaka zitakuwa imesikia na itapima faida na hasara za kufanya mabadiriko ndani ya muda mfupi na haitakuwa mara ya kwanza. Mnakumbuka yule aliepata msituko na kushindwa kusoma...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

    Mkoa wa Morogoro umekosa watetezi. Viongozi wengi wamependa kupata na kuhidhi Ardhi wanahofu au maslahi binafsi kutokuugawa Mkoa wa Morogoro. Mkoa una vigezo vyote vya kuzaa Mikoa Mingine - Ukubwa Wa Eneo, Idadi yq Watu na Shughuli za Kiuchumi tangu pale Mikoa ya Rukwa, Iringa, Mbeya, Mwanza na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkimaliza Kuwaondoa Wamachinga muanze kampeni ya Kuondoa Nyumba za Zamani zilizopo Pembezoni Mwa barabara

    Nyumba kuukuu ni sehemu ya kumbukumbu kihistoria. Zitaondoka taratibu isipokuwa kwa Miradi maalum kama ile ya Prof Anna Tibaijuka na UNHabitat ya kuboresha Slams kama ilivyokuwa kwa Manzese. Aidha, baada ya Machinga kuondolewa sambamba na Sheria ya Mipango Miji ifuatie na Uboreshaji wa Maeneo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Is there no solution to the bitterness of death?

    Death is part & process of a biological carbon cycle for all beings except those extinct- birth - death-decompose- nutrient pool-animal, plant or mechanical absorption - plant life- animal life (birth & death)- life goes on and on.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nini kingetokea kama Mwl. Nyerere angestaafu Urais mwaka 1971 na Oscar Kambona kuvaa viatu vyake hadi mwaka 1981?

    Kwa mara ya kwanza na bila unafiki na kupepesa macho Rais Mtaafu wa Awamu ya 2 Mh Alhaj Ally Hassan Mwinyi anasifiwa na kuenziwa kama Baba wa Tanzania ya Leo ya Uchumi wa Soko Huru.Akiwa Rais wa SMZ wa Bara walikuwa wakifurika Zanzibar kununua bidhaa huku Bara tukikumbwa na Uhaba wa kila kitu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Baraza Jipya la Mawaziri 2020: Hizi ndizo kasoro kuu 3 ninazoziona

    Pamoja na hoja hii kuonekana ina ukakasi wa kuwagawa wananchi kwa Mtazamo wa Imani Zao jambo ambalo sio zuri lakini kama isemwavyo kwenye Vitabu Vitakatifu Mke wa Mfalme hapaswi kuhisiwa kuwa sio muadilifu vivyo hivyo Watawala hawapaswi kuweka mazingira ya kuhisiwa kuwa Wabaguzi/ Wapendelea...
Back
Top Bottom