Recent content by Mshua original

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba (mke)

    Ndio Mkuu wengine akiona vigezo havijamfit anaanza kutukana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba (mke)

    Umepungukiwa kigezo gani mkuu?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata mke

    Asante Mkuu kwa ushauri lakini tunahofia kuchelewa sana kulea
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba (mke)

    Wewe umekosa kipi hapo? Njoo inbox tulonge usiogope
  5. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata mke

    Ndo hivyo Mkuu lakini watu wenye navyo wapo. Wewe umekosa kipi hapo? Au we ni Me?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata mke

    Hahaha kweli kabisa kiongozi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata mke

    Kweli Mkuu ni ngumu sana
  8. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata mke

    Kama wewe mke mwema utapata mume mwema pia
  9. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata mke

    Tatizo siyo mtoto bali tatizo ni baba mtoto kuendeleza mawasiliano na gegedo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata mke

    Tuko wengi aisee
  11. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata mke

    Leta sifa zako make watafutaji hawabebi yeyote wana vigezo vyao. Tatizo siyo kumpata mwanamke Bali kumpata mke ndo issue.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata mke

    Dah pole Mkuu tuko pamoja mi pia kama wewe naumiza kichwa nitampata wapi mke anayenifaa imekuwa ngumu hadi naelekea kukata tamaa nijitafutie mtoto tu make kwa umri huu miaka 30 mambo bado hayasomeki niliweka hadi post love connect kutafuta mke nikataja hadi sifa lakini bado. Duh kichwa kinauma...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sijui utarudi lini kaka

    Pole mkuu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimepata mume kutoka Jamiiforums

    Mkuu hongera sana japo wapo wanaobeza lakini naamini wengi ni wivu tu na kukata tamaa hawaamini kama unaweza kumpata mme au mke hapa jf au kumpata kwa haraka kihivyo kutokana na maigizo waliyoyazoea. Kukaa na mtu miaka 2, 3, 4 eti mnachunguzana ndo chanzo cha kupotezeana muda na kuachana kwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimepata mume kutoka Jamiiforums

    Wapo wanaokaa hata miaka 5 baadae wanamwagana hiyo haina formula kabisa mkiridhikana mnaoana siyo mambo ya kupotezeana muda baadae mnapigana chini kimasihara. Mimi mwenyewe natafuta nikimpata hata kesho natangaza ndoa nshapoteza muda sana.
Back
Top Bottom