Recent content by Mshobaa

  1. Mshobaa

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Tundu Lissu amefanya majumuisho ya mwisho Mahakamani 23/9/2026

    Yule mzee wa takwimu leo sijamwona kabisa humu
  2. Mshobaa

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna vijana katika Stendi ya Daladala Mbezi Mwisho huwazuia watu wanaoingia kwa magari au pikipiki

    Pale stendi ya daladala jichanganye uingie sasa hasa pikipiki
  3. Mshobaa

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna vijana katika Stendi ya Daladala Mbezi Mwisho huwazuia watu wanaoingia kwa magari au pikipiki

    Jichanganye uingie na boda boda jioni ukiwa ready na abiria uone
  4. Mshobaa

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kuna uhaba mkubwa wa sukari ni nini kanaendelea?

    Hali ya upatikanaji wa sukari kwa hapa Dar es Salaam imekuwa mbaya kwa sasa, ni maduka machahe sana inapatikana na ukifanikiwa kuipata basi kama ulikuwa hujui inauzwa kati ya tsh 138,000 hadi 145,000 kwa mfuko wa kg 50 kutoka bei ya awali ya 120,000 ndani ya wiki moja tu, je bodi ya sukari ina...
  5. Mshobaa

    JamiiForums Tanzania Gari mbili zenye usajili wa kufanana

    Fata upotee
  6. Mshobaa

    JamiiForums Tanzania Mabasi mapya ya mwendokasi kuingia

    Ama kweli usiku wa deni haukawii kucha. Mnamo tarehe 2 January 2025 tuliambiwa mwezi Machi mabasi mapya ya mwendokasi yangewasili na kumaliza adha ya usafiri kwa njia za dart. Je huwa tunadanganywa na hawa viongozi tuliowateua hadi lini? Nini suluhu ya utatuzi wa kero ya usafiri wa mwendokasi?
  7. Mshobaa

    JamiiForums Tanzania AZAM TWO:Tamthilia za saa nne ni za kidini!

    Wanawaita mbwa mwitu niliona kipande wanalia kama mbwa kisa eti wanawaogopa waislam
  8. Mshobaa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni kitu gani kinakwamisha awamu ya pili ya mradi wa DMDP wakati fedha zilishatolewa na Waziri?

    Naomba tujulishane hasa wakazi wa manispaa ya Ubungo je kuna ujenzi wa barabara unaoendelea hizi za tarura??
  9. Mshobaa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni kitu gani kinakwamisha awamu ya pili ya mradi wa DMDP wakati fedha zilishatolewa na Waziri?

    Ni wajibu wetu sasa kuwakumbusha mamlaka
  10. Mshobaa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni kitu gani kinakwamisha awamu ya pili ya mradi wa DMDP wakati fedha zilishatolewa na Waziri?

    Kama ni hivyo ni heri wasingetangazia wananchi
  11. Mshobaa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni kitu gani kinakwamisha awamu ya pili ya mradi wa DMDP wakati fedha zilishatolewa na Waziri?

    Wakuu salaam, Nadhani sasa ifike mahali sisi wananchi tuache kudanganywa kwa ahadi hewa. Tumesha kuwa watu wazima sasa, sio watoto. Huu mradi sote tulishuhudia utiaji saini wake na Mh. Mchengerwa mwaka jana, mwezi Oktoba, na kuahidi utekelezaji wake ufanyike mara moja. Naomba kuuliza, ni...
  12. Mshobaa

    JamiiForums Tanzania KERO Malori yanayopaki eneo la urafiki ni kero kwa watumiaji wa Barbara ya morogoro

    Wakuu salaam Kumekua na tabia ya madereva wa malori kuegesha magari yao sio pembezoni bali katikati ya hii barabara muhimu kuanzia eneo la urafiki hadi ubungo darajani. hali hii imekua kero kubwa sana kwa watumiaji wa barabara hii, kwani husababisha foleni kubwa hasa wakati wa jioni kwani...
  13. Mshobaa

    JamiiForums Tanzania KERO Wapiga Debe wanaotafuta Abiria wa Mabasi katika Kituo cha Daladala Mbezi Luis ni kero kubwa

    Wapo mkuu we nenda pale utashangaa wanakua na vijitabu vya risiti kabisa utakuta msafiri katoka mbali haelewi utaratibu wa kupanda mabasi ndio hao wanapotumia mwanya huo kuwaibia
  14. Mshobaa

    JamiiForums Tanzania KERO Wapiga Debe wanaotafuta Abiria wa Mabasi katika Kituo cha Daladala Mbezi Luis ni kero kubwa

    Inasikitisha sana unakuta pale pa kuingilia Pana rundo la askari lakini hawana hata mpango wa kinachoendelea zaidi ya kuwaangalia tu
Back
Top Bottom