Nape(Nepi) ni kiongozi wa hovyo sana. Huwezi kutoa kauli chafu kama hiyo. Halafu JK hamkemei si ndio maana tunajua anamtuma. Kama hamtumi basi kwa kauli hiyo ajitokeze hadharani kukanusha hii italeta balaa siku za usoni.
Mwaka huu wa 2015 ni "turning point" au naweza kuuita ni "defining year" ya sura ya Tanzania mpya tunayoitaka kwa vizazi vijavyo nchini kwetu. Nasema hivyo kwa sababu hali ilivyo kwa sasa tunatakiwa kuwa na kiongozi mwenye upevu na shupavu katika kufuatilia mambo nyeti ya nchi. Hatutakiwi kuwa...
Hoja dhaifu isiyo na takwimu wala vilelezo. Sijui umekula maharage ya wapi wewe!! Sijui nani amekuloga! Acha wivu utakufa na pressure bure. Kwenye analysis wewe hata level ya chekechea hujafikia. Usirudie tena kuandika analyis isiyo na viwango vya research nakushauri nenda nyumbani kwa fulani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.