Recent content by Mshika Tester

  1. Mshika Tester

    iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

    Mimi situmii iphone na sina mpango wa kununua hiz simu kama nipo ndani ya nchi mfano wa Tanzania au nchi maskini zaidi ya Tanzania, lakini iphone ni moja ya simu zenye features zinazotakiwa kwa dunia5ya Leo. Tunachoashindwa kujua ni kwamba Dunia hipo mbali sana kiteknolojia na internet ndiyo...
  2. Mshika Tester

    Kampuni ya mabasi ya Shabiby ni wahuni

    Kila wkiend narudi kuiona familia nilikuwa napanda shabby nikijua hakuna basi na huduma zuri kama wao kumbe nilikuwa napandia jina tu na ninalipa nauli kubwaa ila baada ya kufanyiwa ushenzi na wafanyakazi hasa yule dereva bwege yule.... Niliwahama sasa nimegundua kuna basi nzuri kuliko wao...
  3. Mshika Tester

    Je, wajua kuwa wanyama waweza kukupa taarifa kama kuna janga kubwa sana linakuja?

    ndege hao wanaitwa 'mbayuwayu' a.k.a zakuambiwa changanya na zakwako.
  4. Mshika Tester

    Life is not fair: Niliamini uwezekano wa kupata pesa kwa njia halali ni mkubwa sana...

    hakuna sehemu niliyosema nataka kukata tamaa soma vizuri mkuu wangu.
  5. Mshika Tester

    Life is not fair: Niliamini uwezekano wa kupata pesa kwa njia halali ni mkubwa sana...

    mimi huwa napenda sana kusaidia ombaomba njiani kuliko kutoa sadaka.
  6. Mshika Tester

    Life is not fair: Niliamini uwezekano wa kupata pesa kwa njia halali ni mkubwa sana...

    how to work smart ndugu, inawezekana hapo ndipo ninapokosea, naomba ongezea nyama kidogo kwenye hiyo post yako
  7. Mshika Tester

    Life is not fair: Niliamini uwezekano wa kupata pesa kwa njia halali ni mkubwa sana...

    Naamini upande wa Mungu ni bora zaidi. Asante sana kwa busara zako.
Back
Top Bottom