Umewajibu vizuri sana. Tatizo wengi wanaojadili wako upande wa wanaopinga kila kitu. Hivi huyo anayepinga anaweza kumlinganisha Prof. na Madeleka? Mnamjua vizuri? Ulinganisho wao ni sawa na Tembo - Prof na sisimizi au mdudu mdogo zaidi ya sisimizi-Madeleka!!
Hivi huyu mama mnakumbuka alichoongea kuhusu Kikombe cha Babu Loliondo na watu wakamiminika huko baada ya kutoa findings zake kuhusu kikombe. Hajawahi kueleza mwendelezo wa Tafiti ya Kikombe hicho!
Inaonesha Ushindi wa awali ulitokana na wizi uliokithiri kwa Wa Hizbu. Nguvu walizotumia kwa wizi huo zilikuwa nyingi sana ndio maana walipotakiwa kurudia uchaguzi kihalali hawakuwa tayari kwani hawatapata nafasi ya kuiba tena bila kugundulika kirahisi.Hii ni aibu kuu wa CUF na Wa Hizbu wote...
Umesema kweli ndugu yangu. Baada ya kukosa Urais sasa wanatafuta umaarufu kupitia maiti. Lakini hii ndiyo kawaida yao. Je mnakumbuka siku za nyuma kina Tundu Lissu na wenzake walishawahi kulala mortuary kule Mkoa wa Mara wakilinda maiti?. Walichokipata baada ya kukamatwa na kufikishwa Magereza...
Wameshindwa siasa sasa wamegeuka kutapeli Wananchi. Wamekutana Matonya Group. Natamani sana kuona nyuso za matapeli wote Hawa walioko ukumbini ifikapo tarehe 26 oktoba
Mimi siwalaumu Clouds FM. Nafikiri wanatumia maneno ya Lowasa sawasawa kwa vile hana na au hajui SERA ya vyama anavyogombea.Labda mngependekeza sera ya UKAWA. Niwasaidie "UFISADI;RICHMOND,WIZI,TAMAA NA UCHU WA MADARAKA MPAKA IKULU '
Mimi bado nadhani lawama zinapaswa kuwaendea ndugu wa aliyeuawa kwa kutomdhibiti mtu huyo na kumwacha loose tena akiwa na silaha. Wananchi wasingechukua hatua huyo angeweza kuleta madhara zaidi
Mini baobab lawmakers zinapaswa kuwaendea ndugu wa aliyeuawa kwa kutomandala mtu huyo na kumwacha loose tenant akiwa na silaha. Wananchi wasingechukua haha huyo angeweza kuleta madhara zaidi
Hivi Ukawa kuna mweye akili hata mmoja? Mimi sjamuona. Kwanza wote wanafoka wakiwahutubia wanachi.Hawawezi kuongea kwa utulivu. Wanawafokea wananchi tu. Wakiwashangilia ndio wanapandwa na munkari Zaidi kumbe wananchi wanawachora tu.Lakni wenye matatizo ya afya ya akili wote kufoka ndio symptom...
Sumu umesema kweli. Lakini pamoja na kuwapongeza kuungana nnauliza hivyo huo mpangilio wa kusaini kuanzia Chadema, CUF< NCCR na mwisho kabisa NLD ilifuata vigezo vya umri,udini, ukabila, ukanda au bahati mbaya. Naamini wasingekuwa na nia ya ku7gawana vyeo na maslahi wangesaini mchangganyiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.