Recent content by MSHERI

  1. M

    DC Kasesela: Kuwaza kuajiriwa kwa kijana aliyehitimu chuo ni Utumwa

    Kuna rundo la graduate mitaani. Hewa all mazuzu. Elimu waliopata ikoje? Mifuko inawawezesha kupata mitaji? Au ndo warudi vijijini watafanya kikomo duni ambacho wazazi was wamekifanya kwa 50 yrs na bado ni masikini? So ndo kusema DC na watu wenye fikra kama zake wanadamu vijana ni mazuzu?
  2. M

    DC Kasesela: Kuwaza kuajiriwa kwa kijana aliyehitimu chuo ni Utumwa

    Kauli yake itakuwa sahihi iwapo mitaala iliyotumika kumfunda huyo graduate inamuwezesha kujiajiri. Kujiajiri ni nadharia ambayo utekelezaji wake huhitaji vitu vingi
  3. M

    Alichoandika Julius Mtatiro Facebook baada ya Prof Lipumba kuzungumza Azam Tv

    Waswahili husema "Ukivaa msuli usichane msamba." Prof. Hakujikagua anevaa nini!
  4. M

    Tundu Lissu agonga mwamba kesi ya dikteta uchwara

    Kwa nyongeza tu ushahidi aliotoa Mkapa ulihitaji maelezo au ushahidi wa mkuu wa kaya na hapo ndipo kesi ilipoyeyuka.
  5. M

    Vyama vya upinzani Tanzania vijisahihishe kwanza vyenyewe

    Mleta made hujajifunza vyakutosha buy ya demokrasia ya vyema cha siasa Afrika. Ndani ya vyama cha siasa demokrasia ni ya sina yake. Hebu niamkie demokrasia ya com! Kila chama kinautaratibu wake na ukikiukwa hapo demokrasia inakua imekipwa ndani he chama hicho.
  6. M

    Wadada wenye vitambi wanaboa

    Duh!Matumbo nayo ni shida
Back
Top Bottom