Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linawashikilia watuhumiwa watatu waliokuwa wakijiusisha na shughuli za utapeli maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Ruvuma na Mikoa Jirani.
Akizungumza kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Kamishna Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Marco G. Chilya Februari 23,2026 katika...
Unaweza kutumia njia mbalimbali za uzazi wa mpango ili kuzuia mimba, hiyo ni haki yako kama ilivyo kuwa ni haki yako kuchagua aina ya njia ambayo inafaa zaidi kwako.
Upande mwingine kuna dhana kuwa ukitumia dawa hizo hasa Sindano ya Uzazi wa Mpango zinaweza kuzuia usipate ujauzito tena lakini...
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) tumelipia gharama za hostel lakini cha ajabu tunaambiwa vyumba / hostels zimejaa ilihali Mwanafunzi umeshalipia gharama za hostel.
Kibaya zaidi mfumo wa Chuo (SR2) unakulazimisha ili ukamilishe usajili lazima ulipie accommodation fee (gharama ya hostel)...
Kuna tukio limetokea huku kwetu Kijiji cha Msonga Kata ya Runzewe, Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita, kama tutaendelea kubaki kimya hakuna kitakachofanyika na hatua hazitachukuliwa.
Kuna kijana amepoteza maisha kwa kupigwa risasi na Askari wa Hifadhi ya Hifadhi ya Msitu Kigosi ambayo inasimamiwa...
Sisi Wafanyabiashara wa Soko la Mfaranyaki lililopo Mtaa wa Mbalika, Kata ya Mfaranyaki tuna changamoto ya mazingira kwenye eneo letu la kazi hilo, uchafu umekuwa ukitawala katika mitaro iliyojaa maji machafu.
Hali hiyo imekuwa ya muda mrefu kutokana na kupasuka kwa mabomba ya maji taka, na...
Huko Kijiji cha Milonji Kata ya Lusewa mwanamke aliyejulikana Kwa Jina la Wende Luchagula mwenye umri wa miaka 30 Kabila msukuma, amewachinja watoto watatu wa mke mwenzake wawili ni pacha wa miezi 6 na mmoja ana umri wa miaka sita (6).
Chanzo cha tukio hilo ni wivu kwasababu mume wa Wende...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Ruvuma imekabidhi rasmi gari aina ya ISUZU kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma kwa ajili ya matumizi ya serikali, baada ya kutaifishwa kutokana na kuingizwa nchini kinyume cha sheria.
Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa mjini...
Katika kijiji kidogo cha Mipotopoto, pembezoni mwa Pori la Akiba la Liparamba wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, simulizi ya nadra na ya kusikitisha imetokea simba mwenye rangi ya kahawia na nyeupe, kiumbe adimu anayepatikana katika maeneo machache duniani, ameuawa baada ya kuingia kwenye makazi ya...
Muda mfupi uliopita Heche, Lema Na viongozi wengine wamekamatwa Na polisi. Viongozi WA Chadema walipanga kuzungumza Na waandishi WA habari Leo kabla ya mkutano WA hadhara katika ofisi zao Za Chama zilizopo Kata ya mfaranyaki manispaa ya Songea.
wakati wakijiandaa kuanza mazungumzo walizuiwa Na...
Duka la Dawa la MSD Mpanda Mkoa wa Katavi linalomilikiwa na Bohari ya Dawa (MSD) sasa ni zaidi ya wiki moja limefungwa bila taarifa yoyote kwa Wananchi jambo ambalo imekuwa kero ambayo inasababisha kukosekana kwa dawa ambazo Wananchi tunalazimika kununua kwa bei nafuu.
Kukosekana au kufungwa...
mamlaka ya maji Safi Na usafi WA mazingira Songea(SOUWASA) mnawaumiza sana wateja wenu bill mnazotoa Ni kubwa kuliko matumizi. Nyumba ambayo imefungwa maji hayatumiki Kwa mwezi nzima mnatoa bill kuwa mteja anadaiwa laki tatu na themanini na Saba wakati matumizi yake Kwa mwezi hayajawahi kufika...
Kumbe neno fake news lina maana tofauti na wengi tuelewavyo. Inatolewa taarifa yenye ukweli ila Kama anayetakiwa kuwajibika hasipokuwa tayari kuzungumzia inaitwa fake news ,wanaibatilisha na kuwaaminisha watu kuwa ni habari ya uongo wakati ina ukweli. Mfano hii ya wanafunzi mkoa wa Ruvuma kukaa...
Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi la polisi mnamo January 02 mwaka huu, wananchi wa Kijiji cha Ng’ombo wilayani Nyasa walimuua mamba na kufanya kitoweo.
Majira ya saa kumi na moja alfajiri kwenye fukwe za Ng’ombo-ziwa Nyasa, Kijiji cha Ng’ombo kata ya Chiwinda, mwanamke mmoja aliyetambulika kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.