Recent content by mshamba_255

  1. mshamba_255

    Neno gani uliambiwa na mpenzi wako likakuvunja moyo?

    "nifanye kama michael" its sad kwakwel
  2. mshamba_255

    Msaada wa maoni na ushauri kuhusu Range rover classic

    Wakuu habari naombeni ushauri na maoni yenu kuhusu hii chuma ya mwingereza maana inanivutia na ndo gari ya ndoto yangu msaada Wa uimara wake pamoja na changamoto zake ukizingatia Mimi ni mkulima na mda mwingi Niko porini na vipi kuhusu spea na matengenezo yake hasa ikiwa ni diesel version...
Back
Top Bottom